Karibu kwenye Ukurasa wa Uchambuzi wa Vitabu – Safari ya Maarifa na fikra chanya Kwa maisha yaliyo bora! : By "Emmanuel Mongi"

KITABU MEZANI LEO HII NI: "The 4-Hour Body" na "Timothy Ferriss" ni kitabu kinacholenga kukufungua kiakili juu ya milango ya mageuzi kwa mwili wako na maisha kwa ujumla. Mwandishi, "Timothy Ferriss", anayejulikana kwa kazi yake ya kitabu kilichouzwa sana duniani cha "The 4-Hour Workweek," wakati huu anakuja tena na mwongozo wake mpya na wa kipekee wa namna ya kumudu na kuwa "in control" na mwili wako kwa kutumia mbinu za muda mfupi (yaani masaa manne).

KWANINI KITABU HIKI: click here to unlock the post

KITABU MEZANI:"The Little Book of Common Sense Investing" na mwandishi "John C. Bogle"

Je, unatafuta njia ya uhakika ya kufanikisha uwekezaji wako katika soko la hisa?.Basi Kitabu hiki kilichoandikwa na "John C. Bogle", mwanzilishi na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vanguard Mutual Fund Group, ni........ click here to unlock the post