clubzila |
    View all
  • Explore
  • Login
  • Getting started
0%
Health_Beauty_Tips

Health_Beauty_Tips

Active

Subscribe for Free Tip
Facebook
Twitter
WhatsApp
Email
Text message
Copy link
  • 3 Posts
  • 2 Photos
  • 0 Videos
  • 0 Audio
  • 0 Files
About me

8 Likes 8 Subscribers United States Member since 22 Jul, 2022 Welcome to my page. If you like my content, please consider support. Thank you for your support!

© 2025 clubzila |
  • Terms of Service
  • Privacy
  • About us
  • How it works
  • Cookies Policy
  • Support
  • Contact us
  • Blog
  • English
    English EspaƱol

Pinned Post
Health_Beauty_Tips
Health_Beauty_Tips @Health_Beauty_Tips
KUTOPATA CHOO KWA MUDA MREFU AU KUPATA CHOO KIGUMU - (CONSTIPATION) - SULUHISHO 

"CONSTPATION NI NINI ?

Hili ni Tatizo la kutopata Kwa Muda Mrefu au Kupata Mara Chache
Lakini Kwa Shida Sana na Nguvu Kubwa huwa inatumika Katika Kuhakikisha Walau hicho Kidogo Kinatoka , Kwa Sababu Ya Choo hicho Kuwa Kwenye Muundo Kama tope Jeusi au Vipande Vipande Kama Cha Mbuzi na Kwa Kiwango Kikubwa Kinatawaliwa na Miungurumo isiyokwisha tumboni na Hewa Nyingi Wakati wa Kwenda haja ( Kujamba Sana ) Inayoambatana na Harufu Kali Sana.

CHANZO CHA CONSTIPATION NI NINI ?

Constipation inasababishwa na mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula
Kwenye utumbo mdogo ambao una urefu wa takribani mara 10 mpaka 13 ya urefu wa mtu husika , Kwenye Utumbo huo kuna Villars , hivi ni kama vidole ambavyo muda Wote huwa vinachezacheza ili kumeng'enya chakula , 

Ila kutokana na sumu tunazoingiza mwilini kila siku kutoka kwenye vinywaji , Chakula , Dawa , Hewa tunzovuta Pamoja na Mafuta tunayokula kwenye vyakula huwa Viaenda kujipachika katikati ya Villars (vidole) na hivyo kusababisha vidole visimame (blocked) 

hivyo chakula Kinakuwa hakimeng'enywi na kusababisha chakula tunachokula kupitiliza moja kwa moja kwenye utumbo mkubwa Kama Kilivyo na hapo ndio tatizo linapoanzia.

Tatizo hili la Constipation hupelekea Watu kupata Magonjwa Mengi na Kusababisha Vifo Vingi Sana Kwa Watu Mbali Mbali Mbali na Wengine Bila Kufahamu Chanzo Cha Magonjwa Waliyonayo - Hata Baada ya Vipimo Vya Kimaabala .

Kama Unapata Choo Mara Moja(1) Kwa SIKU Na Unakula Mara Tatu (3) Upo Kwenye Hatari Kubwa Ya Kupata Magonjwa Yafuatayo:

~Kansa ya Utumbo.
~Uzito uliozidi.
~Bawasir i(Vinyama sehemu ya haja kubwa).
~Maumivu ya Kiuno , Mgongo , Mabega , Kichwa , Misuli.
~Kukosa usingizi(Insomnia)
~Kukosa hamu ya kula (Loss of appetite).
~Tumbo kujaa gesi.
~Vidonda vya tumbo (Ulcers).
~Upungufu wa nguvu za kiume.
~Kushindwa kubeba mimba au kuzaa ( Ugumba ).
~Kupasuka kwa utumbo.
~Ileocecal valve incompetence.
~Kutoa harufu mbaya mdomoni na unapojamba.
~ Msongamano wa Hewa Kwenye Mapafu ( Kubanwa Mbavu na Kukosa Pumzi).
~ Maumivu ya tumbo Mara kwa Mara.
~ Muwasho Njia ya Haja Kubwa .
~ Maumivu ya Koromeo ( Kuhisi Kitu Kinapanda Kooni na Kushuka ).
~ Kiungulia .
~ Magonjwa ya Ngozi.

Na Mengine Mengi Sana.

1
Facebook
Twitter
WhatsApp
Text message

Pinned Post
Health_Beauty_Tips
Health_Beauty_Tips @Health_Beauty_Tips
HABARI WAPENDWA WETU WA CLUBZILA

SPARKLE HEALTHY en BEAUTY TIPS tunawaletea maudhui mbalimbali kuhusiana na afya ya ngozi na ya mwili kwa ujumla...tutakuwa tunatoa elimu ya jinsi gani ya kujali afya zetu ili tubakie salama na elimu kwa ujumla ya maradhi mbalimbali yanayotukumba sisi na jamii yetu kwa ujumla na jinsi gani ya kuyatibu hayo maradhi mapema zaid kuzuia athari zingine.

Wote tunafahamu kuwa hakuna kitu chenye thamani kubwa kuzidi afya...ili mtu uwe productive lazima afya yako iwe salama kwanza...na ukinyimwa neema ya afya basi umenyimwa kitu kikubwa sana ktk maisha yko

Hivyo ni muhimu sana kujua jinsi gani tunaweza kubaki kuwa na afya salama kwa kujali afya zetu vile ipasavyo na kujinga na maradhi mbalimbali,pia kama mtu ana maradhi basi ni muhimu kufahamu kwa undani kabisa kuhusiana na hayo maradhi yanayomsibu ikiwemo,sababu,dalili,athari,na tiba na kujinga na kukumbwa na maradhi hayo mara nyingine.

3
Facebook
Twitter
WhatsApp
Text message

Pinned Post
Health_Beauty_Tips
Health_Beauty_Tips @Health_Beauty_Tips

4
Facebook
Twitter
WhatsApp
Text message

Fill Your Details
Login with Google
or
Forgot Password?
    Don't have an account?
    Two-Step Authentication
    We have sent you a code to your email
    Resend code