Maka
Maka @Maka

Lijue soko ni kitabu kilichoelezea mambo mengi yanayomuwezesha mfanyabiashara yeyote kujua namna bora ya ufanyaji biashaa Baadhi ya mambo utakayojisomea ni pamoja na 1 kujua soko ni nini 2 viashiria vya mabadiliko sokoni 3 watu waliopo sokoni 4 kiongozi sokoni 5 mbinu za kiongozi sokoni 6 jinsi ya kulinda soko 7 hatua za uhai wa biashara 8 maana ya mauzo 9 kazi za watu wa mauzo 10 kanuni itakayokufanya uuze zaidi 11 hatua sita za kuuza zaidi 12 Ujuzi wa kuza 13 unachotakiwa kufanya kwenye hatua mbali mbali za biashara nk click here to unlock the post