NIMEPEWA MIMBA NA TEJA NO 1-5

MTUNZI JOGOO POLL

????? ?.

Asma asma mwanangu.

" Niliamka kwenye usingizi ghafra baada kusikia sauti ya mama yangu mimi,

Sikuweza tena kulala maana mama yangu amefariki naishi na mama wa kambo,

Mateso anayonipa yanafanya usiku nimuwaze sana mama yangu kiasi ambacho naisi ananiita mimi,

Nililia sana peke yangu nikiwa kitandani kwangu,

Naitwa asma nina umli wa miaka 17 ni binti mdogo kiserekari sipo kwenye kundi la watu wazima,

Yani mateso nayopitia baba yangu ayajui amesafiri kikazi mwezi mmoja,

Mama wa kambo ameleta bwana ake kwenye nyumba tunayoishi basi mimi nimekuwa ni mtu wa kumpikia uyo bwana ake na kumuwekea maji yani uduma zote za nyumbani nafanya mimi yeye kazi yake ni kulala na mama wa kambo mpaka kitambaa wanachofutia kwenye mechi yao nafua mimi,

Inaniuma kufua vitu kama makamasi ila sio makamasi ni mbegu zinazotokana na starehe zao,

Uku mama wa kambo akiwa ananitishia kwa kusema asisikie kwa mtu yoyote kile kinachoendelea mule ndani,

Naumia nateseka nikiwaza mama yangu alivyokuwa hai sikuwa nafanyiwa Visa kama ivi japo si kwamba nilikuwa sifui nafua ila sifui uchafu,

Kuna muda mwengine nafua shuka nakuta kinyesi,

Yani naumia uku nasema mama wa kambo anakunya makusudi kwenye shuka au?,

Yani vizuri kusikia tu sio utendewe inauma,

Mawazo nayowaza yananifanya nisipate usingizi asubui asubui mama wa kambo ananiita,

" Asma asma.

" Nikamwita bee.

" Njoo umpikie mgeni wangu chapati za maji nenda kanunue mayai kwa mangi.

" Nikamwambia,
Mama saizi mangi ajafungua ni saa 11 na nusu hii alfajiri.

" Mama wa kambo akasema,
Asma kwa mangi unapajua nenda kamgonge Kwake umwambie akuuzie mayai mawili uje upike hapa sitaki neno lengine.

" Nikamwambia mama,
Samahani kwa kuongeza neno saizi bado kuna kiza nje naomba mama nisubiri kukuche niende.

" Mama wa kambo aliniweka Kofi moja la mgongoni akisema,

Wewe mweu nini unaogopa nini makamo ayo unadhani kuna mtu atakubaka wewe shombo tupu na unaenda na 1000 kuna mwizi anaangaika na 1000 nenda kanunue mayai fasta sitaki kuchongewa chongewa mdomo.

" Dah niliumia moyoni nazidi kuona mateso yanaendelea kwenye maisha yangu nikachukua maji ninawe USO hili niende,

Akanivuta akaniambia,

" Asma nitakupiga wewe saizi anakuona nani usoni mpaka uanze kunawa nenda kanunue mayai ukija upike chapati fasta hapa usinilete ujanja ujanja wako upoteze Muda kwenye kunawa.

" Basi nikaondoka maana nikisema nijibu nitapigwa mkofi,

Nikaenda uku na uwoga wangu maana uswahilini uku chochoro kama zote,

Na kweli nikafika mpaka kwa mangi nikamgongea na akafungua akanisikiliza nataka nini?,

Nilipomwambia mayai akaniambia,

" Asma unajua saizi ni Alfajiri sana mama yangu na Bado kuna kiza na wewe ni mtoto wa kike ni hatari kwa afya yako kutembea saizi aise japo umekuja kuniungisha kwenye biashara yangu ila siku nyengine usitoke saizi Bora uwe unanunua jioni unalala na mahitaji ya muda huu sawa asma?.

" Nikamwambia,
Sawa.

" Akanipa mayai na nikarudi nyumbani nikaanza kupika wao wapo ukumbini wananyonyana ndimi,

Sasa mimi nipo jikoni napika ukumbini naona yote yanayoendelea,

Nikaona nisiangarie ukumbini maana si kitu kizuri nachoona mimi,

Kumbe mangi alimwambia baba mdogo wangu kuwa mimi nilienda alfajiri sana kununua mayai,

Na baba mdogo akutaka kuja kuniuliza mimi alikuwa anasubiri baba arudi amwambie ilo swala,

Mimi nilikuwa navumilia ayo yote kwa sababu najua nikisema naweza Ingia mimi kwenye matatizo Bora niwe kimya nione sehemu ya maisha yangu,

Sasa baba aliludi baada siku nne mbele yani siku nne za mimi kwenda kununua mayai alfajiri,

Ilikuwa saa 6 usiku baba anaingia ndani anampigia mdogo wake kumwambia amefika salama,

Na mdogo wake akamwambia kaka yake,

" Kaka unajua kuwa makini na uyo mkeo anamnyanyasa uyo asma.

" Baba sasa sijui nini kimemkuta akutaka kusikia mpaka mwisho alikata simu na akaniita mimi nikiwa chumbani,

Mimi naamka na furaha naona baba kaja mateso ya kufua kitambaa chenye makamasi Basi tena naenda namwamkia nilipigwa Kofi uku naambiwa,

" Wewe mpumbavu sana unatoa taharifa kwenye nyumba yangu unampelekea baba yako mdogo kuwa unanyanyasika aya toka nje uwende kwa uyo baba yako mdogo.

" Jamani sikuweza kupata nafasi ya kujitetea na mimi nashangaa nini kimetokea baba na mama wa kambo wakanisukuma nje saa sita usiku nipo peke yangu nje,

Hapo ndio nazidi kumkumbuka marehemu mama yangu,

" Sasa nasikia sauti kwa nyuma yangu inasema,

" Oya wanangu dem yule twende tukamle vyetu.

" Hapo nikaanza kukimbia nia yangu niende kwa baba mdogo,

Sasa sketi ainipi atua ya kutosha,

Na uku naona wale vijana wapo watatu wananikimbiza,

Nikakata Kona nikakuta mrango wa nyumba moja upo wazi nikaingia hili nipate msaada,

Kumbe chumba cha teja akastuka arafu akasema,

" Wewe maraya umenirushia stimu zangu sasa acha nikunyandue mjinga wewe.

" Uku anaenda kufunga mrango anakutana na wale vijana watatu wanamuuliza,

" Jembe ujaona dem mmoja ivi anakimbia amepita wapi?.

" Yule teja akasema kwani amefanyaje?.

" Sasa mmoja akasema,
Wale maraya itakuwa amemkimbia mwanaume mwenzetu gheto sasa si kakimbia mpini mmoja Sisi tulitaka kumpiga mtungo.

" Yule teja akasema,
Sijamuona atakuwa ni JINI uyo nyie mnazingua.

" Sasa akafunga mrango akaniambia,

" Oya vua unipe utamu huo au nikufungurie ukagawe upendo nje chagua moja mwenyewe unipe mimi au ukawape masera wapo watatu.

" Jamani hapo najiona nipo kwenye mtihani yani nivue nimpe au niende nje nikabakwe,

Wakati nawaza akaniambia,

" Oya unazingua chagua moja Basi unavua au niwaite wakuchukue.

" Jamani nasikia nje wanasema wale vijana,

" Dah yule tungempata tungemla ndogo Leo mpaka ingekuwa kubwa.

" Jamani wananipangia kunila bulawayo mimi,

Nikaona Bora tu nivue nifanyiwe ubakaji mdogo na teja kuliko kubakwa na watu watatu,

Sasa navua sketi yangu mwenyewe uku moyoni naumia sina jinsi mimi,

Dah yani... click here to unlock the post

DUME TATA NO 1-5

MTUNZI JOGOO POLL

????????

Mmm Jamani makubwa yapo kwenye ulimwengu huu nasema aya yamenikuta mimi unaweza usijue kwanini nasema ivi Basi ukitaka kujua kwanini nimeguna na kushangaa ivi twende moja kwa moja kwenye simulizi yangu,

Naitwa amina nakaa chanika sehemu moja panaitwa kwa mustafa wenyeji wa chanika wanapajua,

Basi siku iyo napigiwa simu na shangazi yangu yani dada wa baba,

Anaishi magomeni sehemu moja inaitwa fundikira,

Akaniambia,
" Amina nina shida na wewe njoo nyumbani.

" Nikamwambia,
Shangazi si unajua kuja sio shida shida nauli.

" Akaniambia,
Nakutumia uje amina.

" Basi na mimi nikaaga wazazi wangu yani baba na mama kuwa naenda kwa shangazi,

Baba akasema,
" Sawa nenda ila uwe mtulivu uko usiende kumsumbua dada yangu maana nyinyi mukiwa sehemu muna uhuru kidogo tu mnaleta uweu.

" Mama akasema,
Baba amina ndio maneno gani unamwambia mtoto muache aende kwa shangazi yake wewe msisitize adabu iyendelee ajue yule ni mzazi wake sio maneno kibao uhuru sijui nini yanatokea wapi?.

" Baba akanyamaza maana mama uwaga apendi sana mimi nisemwe semwe na anajua nimeturia kumbe nyuma ya pazia,

Nina miaka 20 ila wanaume sita nishakuwa nao kwenye mausiano na nishatemana nao,

Ila afadhari yangu kuna wengine umli wao na wanaume waliopita nao umli unazidiwa miaka 20 kashatoka wanaume 23,

Nikaenda kwa shangazi sasa,

Magomeni hapo fundikira,

Akaja kunipokea stendi yani shangazi ananikaribisha kama mgeni nimetoka mkoani kumbe jiji ni moja tu nimetoka hapa hapa,

Akanipeleka kwake sasa akaniambia,

" Amina nimekuita hapa unisaidie kitu kimoja unajua nikwambie kitu,

Mama yoyote anasikia raha anapomsema mwanawe kuusu kupunguza umaraya ile kusema unasema tu kama mzazi ila moyoni unasema mwanangu kidume,

Unasikia raha kuona wanawake wanapigana kwa sababu ya mwanao,

Ila uonyeshi tu adharani furaha yako,

Sasa mimi mwenzio uyu kaka yako binamu Mudd yani simsikii anaye mwanamke simsikii kuongea na dem yani simu yake aina ata password akiichaji hapo wewe pekua uoni ata NO ya mwanamke labla kamsevu my,

Au ata sms ya mahaba uiyoni ukiangaria utaona misingeri tu kwenye simu yake,

Sasa wasiwasi ndio akili nikaona hapa nikuite uniangalizie uyu kaka yako binadamu yaliyomo yamo iwe siri yetu amina.

" Nikamwambia,
Shangazi unamaanisha mimi nitembee na kaka Mudd?.

" Shangazi akasema,
Amina naweza kusema ndio kwa sababu sio napenda iwe ivyo ila tatizo ndio linanisukuma nikuambie ivyo kwa sababu siwezi kumwambia mtoto wa mtu tembea na mwanangu akienda kule akiona jogoo awiki si atamtangaza mwanangu kwa watu,

Ndio maana nimekwambia wewe najua wewe ni binamu yake kama ukiona ilo tatizo tunalitibu kimya kimya raha ya kuwa na mtoto wa kiume awe rijari mwanao afyadue mtaani.

" Mimi nikacheka kidogo nikaona shangazi ana wasi wasi mwanawe kidume kweli au kidume cha mchongo,

Maana magomeni uku sisemi mengi maana waswahiri wanaweza wakaleta mengine kiufupi nishajua kuwa anataka kujua uanaume wa kaka Mudd,

Nikamuuliza,
Ushawai kumwambia swala la kuoa labla au?.

" Shangazi akasema,
Sijawai kumwambia swala ilo na swala ilo unamwambia mwanaume mwenye kuleta Leo mweusi kesho mweupe Leo mfupi kesho mrefu kama kaka wa chumba cha uani hapo,

Kila siku anabadirisha wanawake mpaka mimi nasema uyu kidume achoki na wanawake wanaokuja hapo ni watu kweli kweli,

Ila mwanangu yeye kazi kuwaita mashemeji tu ata wivu ana kusema na mimi nishushe vifaa kama uyu jamaa.

" Nikamwambia,
Shangazi inawezekana Mudd anafanya mbari ataki kuleta nyumbani anakurindia heshima yako.

" Shangazi akaniambia,
Amina mwanaume yoyote mwenye kufanya mbari anajulikana mimi si mkubwa ndio maana nimekuita unisaidie wewe jaribu kumtega kikike aingie kwenye 18.

" Nikamwambia,
Sawa shangazi ila ndio nikinogewa UTULIE ujue ananioa yeye.

" Shangazi akacheka akasema,
Aina shida wewe fanya ivyo Leo Leo akija mtege.

" Nikamwambia poa.

Sasa mimi nasema kimoyoni uyo kidume anayebadirisha wanawake lazima nimpe kibompoli inawezekana fundi uyo au mkono wake sio mzito kuingia mfukoni,

Bingwa wa kuonga,

Basi usiku kaka Mudd akarudi akanisalimia akaingia chumbani kwake,

" Mimi nikamfata chumbani kwake Nikamwambia,

Kaka mudd usifunge mrango kuna kitu nataka kukwambia usiku shangazi akilala.

" Akaniambia,
Poa utakuta mrango upo wazi wewe sukuma Ingia tu.

" Basi nikaja kumwambia shangazi yote akaniambia,

" Mimi namuaga kabisa naenda zangu kwa farda hapo juu kwa bibi nyau na sirudi maana nasikia farda anaumwa naenda kumwangaria na nia ni kumpa uhuru mpana asiwe na wasiwasi wowote juu yangu wewe fanya yako amina.

" Nikamwambia sawa.

Kweli alifanya ivyo na mimi nikaenda chumbani kwa Mudd na sketi tu ndani sijavaa kitu chochote moja kwa moja nikapanda kitandani,

Nikamwambia,
" Kaka Mudd wewe binadamu yangu mimi mwenzio nasikia muwasho sehemu ya kibompoli yangu nataka uniangarie sina vipele labla.

" Akaniambia,
Kwani unashindaga na nguo ya ndani mda mrefu au unavaa ikiwa mbichi?.

" Mimi ananiuzi anauliza maswali kama dokta Nikamwambia,
Sivai Muda mrefu yani iyo Ali imenikuta Leo nilivyokuja uku wewe angalia Kwanza mwenyewe uone kuna nini.

" Jamani uku natanua miguu na sketi nikavuta kwa juu na nipo kitandani nimelala chari sasa kaka Mudd anaiyona kibompoli yangu hii,

Akaniambia,
" Una uwekundu ulioivaa.

" Nikamwambia,
Uguse basi uo uwekundu wenyewe unaosema.

" Kaka Mudd akakaa vizuri na analeta mkono kwenye kibompoli yangu nia aguse huo uwekundu anaosema umeivaa,

Dah yani... click here to unlock the post

KITIM KITIM CHA CHIZI ASHA NO 1-5

MTUNZI JOGOO POLL

?

Duu uswahilini uku acha tu kuishi kuna taka moyo.

Mimi nilikuwa nakaa zangu ubungo kibangu nimepanga.

Japo ubungo kibangu sio kama uzunguni ila ni tofauti na mbagara rangi tatu.

Naitwa awadhi baada kuona maisha yanazingua ubungo kibangu kodi zimepanda kutokana wanafunzi wa chuo kuwa wengi hostel ndogo.

Sasa wanakuja mtaani kupanga wenye nyumba wakaona ndio fursa ya kupandisha kodi nyumba zao.

Mimi nikaona kwetu sijaua na si ajabu mpila kurudisha kwa kipa.

Yani nilirudi hom kwa wazazi wangu japo wazazi awapo mbagara wao wamerudi shamba.

Mbagara wamejenga tu.

Sasa mimi pale nina chumba changu nikarudi.

Siku iyo sisaau nimetandika mkeka nje nikaingia ndani kufata mto nije nilale.

Si ndio akapita chizi asha akachukua mkeka wenyewe akaanza kuondoka nao.

Mimi natoka namuona anaondoka na mkeka.

Namwita asha asha asha.

" Akageuka akaniambia wewe ukome kuniita kama vile mimi kiziwi unasemaje.

" Nikamwambia asha umechukua mkeka wangu naomba basi nilalie.

" Akaniambia koma mkeka kijijini kwetu unawekwa juu ya kitanda cha kamba mtu analalia wewe unatumia kwa matumizi mabaya acha niondoke nao nikawape wanaojua kutumia.

" Jamani nikaona huu mtihani sasa hapa namwambiaje sasa.

" Akatokea jamaa mmoja anaitwa Hamad bonge akaniambia oya mwalimu wangu wa draft wewe unadhani hapa ubungo nini ushasaau uku uswahilini na uyo asha ana vituko kweli kweli yani mkeka wako uwezi kuupata anaupeleka gheto lake.

Ata wanawake wa uku mvua ikinyesha wakitoa ndoo nje anapita nazo.

" Mimi nikamwambia poa bonge ila ndugu yangu umeniita jina la bingwa wa draft toka nikufunge.

Umekuwa na heshima sasa ivi.

" Bonge akasema kipindi kile mwanangu ulikuwa mkari ila sasa ivi usisubutu nitakufunga.

" Nikamwambia poa basi bonge acha mimi nikalale ndani maana uyu chizi asha asije akaning'oa mpini wangu hapa nje.

" Bonge akacheka sana akasema kweli kabisa anaweza akafanya ivyo uyu si chizi na chizi ana maana.

" Basi niliingia ndani nikalala.

Mlango nikaacha wazi kwa ajili ya kupunga upepo si unajua uswahilini nyumba zilivyobandana.

Jamani kumbe mvua nayo ikaanza kunyesha mimi nipo kwenye usingizi mzito.

Kumbe chizi asha kaja kujificha mvua kibalazani kwetu.

Sasa ule mvua ulikuja kama na upepo ivi.

Ule upepo ukawa unamrowesha chizi asha.

Akaangalia mbele akaona mlango upo wazi.

Yani mlango wangu.

Jamani jamani chizi akaingia ndani na akafunga mlango.

" Mimi nikastuka kusikia sauti ya mlango wangu umefungwa.

Jamani sijui mimi nina ugonjwa gani nikisikia baridi tu mpini unasimama na nimevaa bukta.

" Chizi akaona mpini umesimama akaniambia wewe kaka nini iyo mbele mbona imetuna.

" Nikasema kimoyoni sasa nimemkimbia nje kanifata ndani.

Jamani chizi asha anavua nguo sasa katoa nguo ya ndani.

Jamani chini akuna uchizi kupo sawa sawa na timamu akawa ananifata ananiambia na wewe vua uko.

" Dah yani.. click here to unlock the post

KUNGWI MCHARUKO NO 1-5

MTUNZI JOGOO POLL

Naitwa safi shamsi mtoto wa kizanzibar kwetu karafuu ndio zinapotoka kila mtu anaringia na Chao kama vile tanga wanavyosema mapenzi ndipo yalipozaliwa.

Sasa jamani nimetoka zanzibar nimekwenda Tanzania bara moja kwa moja mkoani morogolo mji kasoro bahari.

Nimeenda kwa rafiki yangu Fatma salehe mtoto mwenye mambo mengi kwenye group la amsha popo.

Nimekutana nae tukasalimiana vizuri nashangaa ananiambia safi shamsi.

" Bora ulivyokuja unisindikize hapo unyagoni Kuna rafiki yangu anachezwa anaitwa vee twende tukasikilize wanamfunda nini wapo wali wengi ila mimi rafiki yangu mmoja tu vee.

" Mimi nikamwambia Fatma vee yule yule aliyekuwa kwenye kundi la amsha popo?.

" Fatma akasema ndio yule yule kumbe nimesaau na wewe rafiki yako twende tukampe kampani.

" Nikamwambia Fatma sasa mimi sijachezwa nitaingiaje sehemu iyo?.

" Fatma akaniambia wewe twende ndio anachezwa Leo twende uku niachie mimi jinsi ya kuingia ndani mule.

" Basi tukaenda njiani namuona Aisha na yeye anaenda kwenye unyago.

Nikamwambia Fatma yule si Aisha.

" Fatma akaniambia ndio yeye achana nae mweu uyo anazingua kinoma yani yeye kaolewa anaona tusiolewa kama atuna akili vile achana nae.

" Dah mimi kwa sababu mgeni nikaona nimfatishe mwenyeji wangu Fatma nikamwacha Aisha kama alivyo.

Jamani kweli tuliingia humo kwenye unyago.

Sasa uyo kungwi aliposimama anawafunda wali akaanza maneno yake.

" Naitwa kungwi mcharuko nadhani wengi mnajua kungwi mwendo kasi sasa REO nimekuja na mambo kibao ila nitasema machache.

Kwanza mujuwe zamani mapenzi yalikuwa yana usemi wao.

Mapenzi upofu.

Rakini siku izi mapenzi yametibiwa upofu wake sasa wanaume wanaona makalio wanawake wanaona pesa.

Upofu kwisha.

Tulieni niwaambie wali wangu nyinyi wanawake wa siku izi baazi yao awajitambui nataka nyinyi mukitoka hapa mjitambue.

Wanawake wengi wasio jitambua wamekuwa vivutio vya biashara za watu ukweli nawaambia.

Mtu anafungua Chanel yake ya YouTube anamchukua mwanamke asiyejitambua anaongea maneno aya.

Mimi kwa siku natumia BANDO la milioni 3.

Kuna mwengine anaongea maneno aya.

Mimi naogeshwa kwa mwezi namlipa mtu milioni 20.

Na kwa siku namlipa mtu milioni tano kwa ajiri ya kuniogesha.

Sasa musimcheke ni ujinga wa fikra unajua unapokuwa unatumika vibaya kuongopa ni wewe ndio unadhalaulika.

Ivi mwanamke REO ukae mbele za watu useme ujui kuoga kweri iyo akili?.

Kwanza unamtukanisha mama yako kwamba ajakulea kwenye misingi Bora pili utapata rawama kwenye ukoo inatokea shida ya laki na nusu unashindwa kuitatua.

Na washakuona unajinadi ujinga.

Yani unatumika kumtukana mzazi wako kwa shilingi elfu 30 huo ni ujinga nataka wali nyinyi muwe imara kwenye msimamo wa maisha yenu.

Angalieni kwenye sehemu za bar.

Mwanamke ndio anacheza bira nguo au anavaa kanga nyepesi anaimwagia maji hili avute wateja.

Wanawake nyinyi kama amtakuwa makini mutatumika vibaya kwa ajiri ya kusaidia wengine.

Kwani amsikii Kuna kumbi za starehe wanaume wanalipa elfu tano getini mwanamke bure.

Ujiulizi kwanini wewe uambiwe bure wanaume walipe.

Nataka wali wangu nyinyi muwe makini mujuwe thamani ya mwili wako wewe sio dampo upokee kila aina ya uchafu.

Najua wengi wanawake wenye tabia izi kama wapo kwenye unyago huu wanachukia ila chukieni naitwa kungwi mcharuko ukinichukia shauri yako.

Ata usemi wa waswahili unaosema damu nzito kuliko maji.

Umeshapita na wakati siku izi damu nyepesi kuliko ata ayo maji.

Ndugu yako ndio mchawi NO 1 ukiyumba kimaisha anafurahia.

Sasa wali wangu nataka mujuwe kitu kimoja wanaume wengi wanaoa ila awajui kuishi na mwanamke.

Wewe mwanamke ndio unao uwezo wa kufanya mumeo aishi vipi?.

Wake wengi awajui izi siri nitawapa nyinyi siri za kufanya waume zenu wawasikilize.

Ivi Ushangai nyumba ndogo aziendi dagaa wala bamia na nyanya chungu akakoroge mrenda.

Ivyo vinakuja kwako wewe mke.

Sasa nataka nyinyi wali wangu mujuwe ujanja wanaotumia nyumba ndogo kuwapumbaza akili wanaume za watu kupitia unyago huu.

Nataka mkafanye kwenye ndoa zenu.

Sitaki muwe wajinga wajinga yani unalia umeibiwa mume.

Nataka mjifunze yale mapenzi ya kumteka mume nyinyi amjawai kusikia diwani katekwa.

Sasa mnataka na nyinyi waume zenu watekwe.

Nasemaje sina mengi ni unyago wa siku Saba reo nimefungua tu mengi yanakuja nataka muwe makini kweli kweli na aya masomo.

Mwanamke asiyechezwa ndio anapelekwa kwa mpalange.

Na kama kachezwa basi ndio wale wali vigwego yani vichwa vigumu.

Wewe ni wa thamani na mapenzi yana njia yake na kama utakuwa makini kusikia atua za mapenzi yani nitakuelekeza izo njia mumeo ata siku moja awezi kukuomba kinyume na maumbile.

Ni dhambi kwa mungu.

Ni maladhi makubwa kwako mwanamke unajitengenezea.

Najua wanaopelekwa kwa mpalange watachukia ira rengo langu wali wangu.

Muwe spesho kwenye huu ulimwengu wa wanaume wanapenda kufanya mambo ya ajabu juu yetu wanawake kwa REO naishia hapa kesho naanza na somo la kitandani moja kwa moja nataka ujue siri ya kitandani kwanza sawa?.

" Wali waliitika sawa.

" Na mimi moyoni nikasema kesho nakuja nijuwe siri ya kitandani.

Nikatoka na Fatma hao tunaondoka njiani nashangaa naitwa mimi.

" Oya dada samahani nisubiri.

" Mimi namwambia Fatma twende hao si wanaume wanaopenda kutongoza ovyo.

" Fatma akaniambia apana subiri tumsikilize kwanza anasemaje?

" Basi nilisimama kwa ajili ya Fatma akaja yule kaka ata simjui.

" Akaniambia safi shamsi umenisaau?.

" Jamani nikashangaa kwanza uyu kanijuaje jina langu na mbona mimi simjui.

Nikamwambia wewe ni nani?.

" Akaniambia safi inamaanisha umenisaau kabisa habari ya zanzibar safi shamsi mtoto mzuri.

" Nikashangaa tena kutaja zanzibar nikamwambia samahani kaka naomba uniambie wewe ni nani?.

" Yule kaka akaniambia samahani safi naomba kama autojari twende nyumbani kwangu tukaongee vizuri nikutamburishe vizuri.

" Sasa Fatma akaniambia twende uyu nadhani anakujua sasa twende tujue anakujua vipi?.

" Nashangaa na mimi nakubari kwa sababu rafiki yangu Fatma si kaniambia twende na yeye ndio mwenyeji wangu.

Tukafika nyumbani kwa uyo mkaka.

Chumbani kwake kabandika magazeti ukuta mzima yani nacheka kimoyoni uku nasema shamba ni shamba tu sasa aya magazeti ndio rangi au.

" Yule mkaka akampa Fatma chupa mbili za soda akasema.

" Dada samahani naomba wewe ukanunue soda ya safi na yako.

" Fatma akachukua chupa akasema safi nakuja.

" Mimi nikakaa kwenye stury kumbe stury mbovu.

Sijui mtego na mimi nina mituta si ile ya kishangingi sana ila makubwa kg 8 unapata kama yangekuwa yanakatwa yanapimwa.

Jamani nakaria stury nikaanguka chini puu.

" Yule mkaka akaniambia pole safi.

Panda kitandani kwanza nikuangalie aukuumia.

" Na mimi kwa sababu ya wenge si nikajikuta nimepanda kitandani.

Sasa nashangaa kaka yule ananigusa matuta yangu ananiuliza.

" Safi yanauma au?.

" Namwambia ayaumi.

Jamani nashangaa anayaminya minya sasa nikaona mmm aya sio tena kukaguana maumivu ni mambo mengine nashangaa Fatma na yeye arudi.

Yule kaka anapanda kitandani.

Dah yani...

ITAENDELEA click here to unlock the post

JIMAMA LA KIHINDI TAMU

MTUNZI JOGOO POLL

Jamani dunia ina mambo kama unadhani huu usemi umesemwa tu.

Arafu auna maana yoyote jua ayajakufika ayo mambo.

Nasema ivi mimi wakati nakuwa nilikuwa nasikia kuwa uyaone.

Sasa nayaona.

Naitwa shabani naishi ndani ya jiji la dar salaam sehemu moja tandika mtaa wa nyambwela.

Nyumba ya kupanga kodi TSH elfu 30.

Nafanya kazi za kuunga unga tu mjini yani mimi saidia fundi wa ujenzi.

Wale wa mjini wanajua saidia fundi analipwa na fundi si tajiri.

Yani tajiri ana mkataba na saidia fundi.

Sasa mambo ya ujenzi yanaendaga na msimu wakati wa mvua kazi za ujenzi zinasimama.

Sasa Sisi saidia fundi tunateseka kweli maana kipato tunachopewa uwezi kuweka akiba ikusaidie mwezi mzima.

Maisha magumu nafikiria nitaishiji mwezi huu.

Si ndio napigiwa simu na baba kutoka mkoani ananiambia.

" Mwanangu ushakua uje kijijini uku nikuolee mke uweze kuniletea wajukuu na mimi niitwe babu.

" Jamani baba ajui tu uzazi wa sasa ivi uwe na pesa sababu naona rafiki zangu wanavyotoa pesa hospital wake zao wanapoenda kujifungua.

Yani akijifungua kawaida elfu 85 na akijifungua kwa operesheni laki 4.

Yani uzazi wa sasa ivi ungekuwa toka zamani wa pesa nadhani ata ule usemi wa waswahili unaosema tajili na Mali zake maskini na wanawe.

Usingekuwepo maana uzazi siku izi unanunua mtoto kweli sio kama zamani tunadanganyana mtoto ananunuliwa kumbe ukishajifungua unampa asante ness kwa pesa unayofikiria mwenyewe.

Sasa wakati nawaza ayo nipo kimya na baba anasubiri jibu.

Akaniita.

" Shabani unanisikia?.

" Nikamwambia baba nakusikia ila maisha magumu sana sasa ivi acha kwanza nitafute maisha.

" Baba akasema kwa ukali sana.

Mwanangu utafute maisha umesikia maisha yashawai kupotea.

Na kwanini ukae bila mke na wewe mwanaume lini mimi nitaitwa babu mama yako aitwe bibi nishachoka kutuma wajukuu wa majirani nataka uje uchukue mke uku nishasema.

Mimi baba yako nimemuoa mama yako nalala chini na yeye mkeo atalala chini kama auna kitanda nasema uje uchukue mke.

" Dah yani baba ajui tu mimi mwenyewe maisha naona magumu tena nipo na tumbo langu tu iweje niwe na matumbo mawili langu na la mke wangu.

Nasema sasa baba anataka kunipa mtihani.

Jamani sijamjibu baba nashangaa mama kapokea simu anasema.

" Wewe shabani mwanangu unataka kumpinga baba yako au nasema ivi kesho baba yako anaenda kukuolea mke na kesho kutwa mkeo anakuja mjini uko.

Naomba ukampokee stendi atakuja na simu na utamjua hapo hapo sitaki ujinga nataka wajukuu.

" Dah nawaza sasa huu mtihani mvua kila siku upo kazi amna.

Kesho kutwa ikafika kweli napigiwa simu naenda mbezi stendi kumfata mke wangu kaja na bonge la fuko mimi nikadhani amebeba chakula yani mchele au mahindi.

Kumbe kajaza nguo.

Jamani usiku nakula tendo la ndoa uku nawaza kesho mtoto wa watu atakula nini?

" Asubui nashangaa ananiuliza wapi wanauza mkate nina hamu ya mkate ivi kuna mkate wa moto kweli?.

" Mimi nikacheka kimoyoni mimi mwenyewe kukaa kote dar sijawai kula mkate wa moto uyu anataka mkate wa moto anadhani ikifika kijijini kule ndio inakuwa imepoa.

Yani nawaza naona ananipa elfu 10.

" Ananiambia hii nimetunzwa na bibi naomba kanunue mkate.

" Moyoni nikasema afadhali hapa umecheza kama pele.

Nikaenda kumnunulia mkate akala nikamla sababu ndoa mpya aishi hamu.

Sasa siku ya pili mimi mwenyewe nikaenda kuomba kazi kwa wahindi mjini.

Jamani nikapata kazi kwa muhindi mmoja anaitwa Khan.

Uyo Khan ni mwanaume.

Mkewe anaitwa pruvita.

Sasa ni kazi za ndani jamani wahindi wanatukosea Sisi majina yetu kutuita au makusudi.

Khan akawa ananiambia.

" Sabani kazi pata wewe utafua nguo na kazi zote ndani hapa sawa sabani.

" Mimi naitwa shabani ila muhindi ananiita sabani.

Nikamwambia sawa boss.

" Jamani nikaanza kazi mimi nikafua mpaka nguo za ndani za mke wa boss.

Ambaye ni pruvita.

Nimemaliza kazi zote nikaenda kumwambia boss nishamaliza kazi.

" Akaniambia sabani muda wa wewe kwenda nyumbani kwako bado sasa mnyoshe nyoshe mke wangu mwili hapo sabani.

" Nikaona sasa hii Kari tena yani kuniruhusu tu kuondoka mapema wanaona kama nitakula pesa ya bule yani nimnyoshe mkewe mwili.

Na mkewe akalala kifudi fudi na mzigo anao yani mimi ndio kwa mara ya kwanza namuona muhindi jimama.

Sasa boss kapigiwa simu kaondoka anamwambia mkewe.

" Sabani akunyoshe mpaka saa 11 yeye ndio kwenda kwake asiondoke saizi saa 9.

" Mkewe akasema sawa mume wangu.

" Mimi nikaenda kufungua geti na mimi ndio nimefunga geti.

Narudi ukumbini simuoni mkewe muhindi.

Nashangaa nasikia sauti ananiita chumbani kwake.

" Ananiambia njoo uninyoshe hapa kitandani huo muda wako uliobaki wa kufanya kazi.

" Jamani kalala kifudi fudi namuuliza nikunyoshe kwa kukupanda na miguu mgongoni au na mikono?.

" Akaniambia sabani miguu utaniumiza ninyoshe kwa mikono sabani.

" Jamani nikasema reo mtihani ila nitaushinda tu kidume napanda kitandani tayari kwa kumnyosha boss wangu wa kike pruvita.

Nikapeleka mikono mgongoni akaniambia.

" Sabani nyosha sana kwenye kiuno mgongo upo sawa kiuno ndio kimekaza.

" Jamani kazi hizi zina raha yake si nikapeleka mikono kiunoni.

Nashangaa na mpini nao unasimama.

Kweli hiki kichwa chini akina akili kinadhani uyu dem wangu au Visa vyake tu.

Jamani najikuta napeleka mikono mpaka kwenye matuta ya mke wa boss.

Dah yani..

ITAENDELEA

JIMAMA LA KIHINDI TAMU click here to unlock the post

NAJUTA KUOLEWA NO 1-5

MTUNZI JOGOO POLL

NO 0657 774735

Hee sheba hee sheba.

Walisema aolewi

mbona kaolewa

Walisema aolewi mbona kaolewa.

Aya we amina kaolewa.

" Ni sauti za majirani zangu na ndugu zangu siku ya harusi yangu.

Naitwa amina hii ndio ndoa yangu ya kwanza jamani ndoa ya kwanza.

Mpaka kupigwa picha unafundishwa ukae pozi gani.

Nasikia raha naolewa na kijana anaitwa Ramadhan.

Yani Ramadhan akutaka kunionja kwanza kama baazi ya vijana wengi wa mjini wana kauli zao awanunuwi mbuzi kwenye gunia.

Basi sherehe ilikuwa mzuri zinabadirika nyimbo tu uko nje mimi nipo ndani natabasamu na mume wangu.

Nasikia nyimbo moja maharufu ata mimi nilikuwa naimba kwenye harusi ya wenzangu Leo inaimbwa kwangu ni nyimbo hii.

" Aiya aiya kuolewa kurudi nyumbani kutembea.

" Basi nilipenda na mawaidha ya shehee Suleiman alikuwa anasema ivi....

" Wewe Ramadhan Leo umeoa kupitia wewe na wengine wote mlioa nisikilizeni.

Njia ya kumfurahisha mkeo

Mfanye ahisi kuwa yuko salama acha ubabe na ugomvi unapoingia nyumbani toa salam ya Allah salamu humfukuza shetani nyumban kwako.

Mtume s.a.w alimuelezea kuwa mke ni mfano wa chombo lain na akaagizia kukitunza kumbuka kuwa kuna mambo mazuri utakayo yapata kwake hvyo amiliana naye kwa ulaini wa moyo mke mzuri habbty wangu hakika nakupenda mwanamke wa maisha yangu ni wewe maneno kama haya huleta umakin kwake.

Unapomshauri jambo bas kaa naye faragha na katika mazingira yenye utulivu usifanye hvyo hadharani kwa maana hyo ni swa na kumkashifu kuwa mkarimu kwa mkeo humfanya azidi kuwa na hisia ya upendo na kuhis kuwa anapendwa na wake fulani wa ubani wake ayuni.

Mpishe mkeo akae katika kiti chako hilo litapooza moyo wake epuka ghadhabu na hasira kaa na udhuu mudawote mtume s.a.w anasema kuwa unapokuwa na hasira kaa chini kama ulikaa lala fuata sunnah hii.

Jitahid kuonekana maridadi na unukie vyema kwa ajili ya mkeo ajivunie kuwa na mume wake kwani huimarisha mahaba usijiekee rafu rafu usiwe mgumu hilo litakuangusha mtume s.a.w anasema mbora wenu ni yule aliye mbora kwa wake zake nami nu mbora wenu kwa wake zangu bs hebu tuache ubahahili ktk familia zetu mfanye mke wako ajivunie kuwa anamtu wa.maisha yke maana km ingekuwa mwanadamu anastahili kusujudiwa bs Allah angeamrisha mume kusujudiwa na.mke.wake sababu ndo kiongoz anaetoa.huduma zote.chakula.malaz mavaz na huduma tele bs hebu mke ajue ana mume gubu ya nn haipendezi hasaa tubadilike hasaa ikhwan.Allah atuezeshe na Atusimamie Ammyn.

" Jamani siku ya harusi kuna mambo mengi jamani nyinyi kama amjawai kuona amjaudhulia ndoa za uswahilini.

Mimi natoka kwenye chumba mdogo wangu kanizuia kanishika mguu.

" Basi mimi nacheka tu uyu kafundishwa na nani mambo aya yakunizuia mguu.

Basi alipewa elfu tano akaniachia.

Yani mimi sijui mpaka Leo mambo aya yapo kwenye dini au wasaka pesa wamechomeka kipengele Chao ichi kidogo kidogo akina kero ila kinachomoa pesa.

Jamani wakati nimeshikwa mguu nasikia vijana wale waliokuja na mume wangu wanaimba uko nyimbo yao ila maharufu kwetu uku uswahilini ni hii..

" Tunataka jiko letu
Tunataka jiko letu.

" Jamani mimi ndio jiko lenyewe moyoni nasema ndoa acheni iwe ndoa ina vituko vidogo vidogo.

" Sasa nikaenda Saba kwenye hoteli moja mzuri sana kilichoendelea uko walio kwenye ndoa wanajua nyie msio kwenye ndoa Mungu awajalie muingie kwenye ndoa mtajuwa kwenye Saba kuna nini.

Sio nawaficha sana siwezi kuchambua tulianzaje Siku ya kwanza mpaka siku ya mwisho.

Yani kiufupi tulifanya tendo ilo linaitwa la ndoa kwa raha zetu.

Sasa kumbe mume wangu anaishi na wazazi wake.

Siku nafika kwao.

Wazazi wake mume wangu na mume wangu usiku wote awakulala.

Walikuwa wanaongea kilugha tu.

" Mimi nipo chumbani sijui ata wanamaanisha nini iyo lugha yao mwishoni naisi kama kelele tu.

Asubui mume wangu akaja na swali moja kwanza.

" Mke wangu unaweza kusonga ugali?.

" Nikaona swali jepesi nikajua anataka nikawasongee wazazi wake nikamwambia ndio.

" Akaniuliza tena unasonga na unaiva kabisa?.

" Mmm hapa nikawa na ukakasi wa swali lake maana watoto wa mjini wana viswahiri Tata wewe unaweza ukajua anamaanisha hili kumbe anamaanisha lengine nikamwambia tu ndio.

" Akaniambia unaweza ukaudumia wanaume 20 kwa pamoja?.

" Hapo ndio nilistuka kuudumia watu 20 kwa pamoja anamaanisha nini uyu uduma gani iyo ya mimi kuudumia watu 20.

Nikamwambia unamaanisha nini?.

" Akaniambia mbona umestuka kwani uwezi kuudumia watu 20 unaweza kuniudumia peke yangu tu?.

" Hapo akazidi kunistua zaidi.

Nashangaa tena baba mkwe anaingia chumbani bila hodi mimi nipo kitandani na nimejifunika shuka ndani sina kitu.

Kama wanavyosema waswahili ukiolewa usilale na nguo ya ndani.

Jamani baba mkwe ananisogelea kitandani.

Nasema nini tena iki dah yani...

ITAENDELEA
PATA FULL 1500 USOME EPISODE 30 KWENYE SIMU YAKO
NO YA MALIPO NI 0657 774735 JINA MKEGAN MPONDA
NAJUTA KUOLEWA NO 2

MTUNZI JOGOO POLL

NO 0657 774735

? Nasema nini tena iki yani...?

Baba mkwe akaanza kusema uku ananipiga bega langu la kushoto.

Bila kuofia mimi ni mke wa mwanawe na nipo kitandani na yeye kakaa pale pale kitandani.

Anasema.

" Amina usiwe na wasiwasi uyu mumeo naona anashindwa kukueleza moja kwa moja nini anamaanisha acha nikwambie mimi?.

" Jamani mimi nilikuwa makini isije shuka ikafunuka maana nipo bila nguo ya ndani.

Baba mkwe anasema.

" Amina mama yako mkwe ni mfanya biashara anauza chakura hoteli moja hapo mjini sasa yule mpishi naisi ana ugonjwa wa akili sasa tunaona Bora wewe ndio ukawe mpishi kwenye ile hoteli sawa amina.

" Mimi moyoni nasema kwaiyo nimeolewa hili niwe mpishi wa hotelini au mbona nipo kwenye wakati mgumu mimi nikasonge ugali wa hotelini.

Kabla sijamjibu baba mkwe kuwa sawa nitasonga ugali wa iyo hoteli ya mama mkwe.

Mama mkwe mwenyewe anaingia ananiambia.

" Amina mwanangu mpendwa usiwe na wasiwasi kwa sasa utakuwa unaenda tu pale hotelini uwe unachukua uzoefu wa kupika ukiweza tuna msimamisha kazi mpishi wewe ndio unakuwa mpishi mambo yataenda sawa tu mwanangu.

" Mimi nashangaa baba mkwe ana ata ule uoga mkewe yupo mule ndani.

Yeye ananichezea bega tu.

" Mama mkwe akamwita mumewe wakatoka nje.

" Mume wangu akaniambia mke wangu uyu baba yangu ni mgonjwa wa akili yani yeye anajua yule mpishi kama yeye hii ni siri ya familia kuna muda uyu baba anafanya vitu vya ajabu sana.

Wewe si umeona alichokuwa anafanya hapa kukushika bega mbele yangu na mbele ya mama inabidi umzoee sawa?.

" Moyoni nikasema huu mtihani sasa kumbe baba mkwe dishi na swala la kuwa mpishi ni lengine ilo yani mtihani juu ya mtihani.

" Mama mkwe akagonga hodi akaniambia amina jiandae twende kwenye harusi.

" Jamani mama mkwe naisi ana upendo juu yangu yani anataka twende wote kwenye harusi.

Ata sijui harusi ya nani.

Nilivaa nikapendeza nikaongozana na mama mkwe kwenye harusi.

Jamani ndio mara yangu ya kwanza kwenda kwenye harusi nikiwa na mimi ni mke niliyopitia harusi.

" Jamani sherehe ilifana na nikamuona shehee anatoa mawaidha aya kwenye iyo harusi....?

Ndugu zangu ktk iman mapenzi ni hisia mbili zilizo ridhiana kupendana kuvumiliana kushikamana kuelewana kusikizana kuelekezana ya kher kufanyiana huruma kuoneana kila lao hufanana.

Neno samahan ni jembe la kuondoa magugu ktk mimea ya mapenzi kuekeana subra kwa kusameheana mazuri kupeana na mabaya kukatazana mke anaakiwa kila cku baada ya kulala mume umfundishe mkeo japo aya moja na hadithi moja kila cku kabla ya kulala mke wangu ww ndo ubavu wangu hakika ni amana nimepewa na Allah ndo maana nikala kiapo ntakuwa nawe ktk shida na raha tabu na dhiki haya ndo maneno ya kumueleza mkeo nae akajiona mke ktk wake.

hakika kitendo cha mke kubeba mimba kaz ya kulea mimba si kaz ndogo anarisk maisha yke na afya yke kula udongo yy kutapika yy hakika huna cha kumlipa hata uuze dunia ukija ktk kuzaa na kunyonyesha bs huwez mlipa chochote mke ni mtu wa thamani tizama nyumba yko hata iwe nzuri vp km haina mke nyumba hyo inatoka ktk ubora bs ni jukumu letu kuwatunza kuwaheshimu na kuwavumilia mapungufu yao mangap wanafanya juu yetu kupika wao kufua wao usafi wa nyumba wao bs tuwavumilie maudhi yao.

Mangap wanafanya juu yetu muda mwingne ibada zinawapita kwa kazi zaa jikon kla aina ya futar anakupikia anaungua na moto wa duniani bdo wa akhera unamngoja hv utakosa fadhila kwake bs tuwafurahishe na kuwatunza zaid ya mbon zetu tuwalee ktk maadili ya dini kuta za ndoa ni ucha mungu kesho tutaulizwa ss ndo viongoz tuliwachunga vp tuwe na huruma nao haki zao zote tuwape pasipo kufanya dhulma tna sikuku wapate kile kilicho bora km ni mavazi na mahitaji zao Allah anampenda mja yule anaefurahisha familia yke ikafurahi ikala na kunywa na kuwaonea hurumaa familia yko Allah nae huwaonea huruma zaid na zaid hakika mke ataka kuongozwa awe mcha mungu akuzalie watoto wemaawalee ktk misingi ya dini na tabia njema hakika kuzaa si fahar bali fahari kujua tabia za wanao Allah atutangulie sote ktk hilo ammyn.

" Mimi sasa nikawa nawaza na uyu anayeolewa sijui kwenye ndoa yake anaenda kukutana na mitihani kama yangu au?

Ni mawazo yangu tu basi tuliludi na mama mkwe.

Njiani ndio ananiambia baba mkwe wangu ni mgonjwa wa akili kidogo kwaiyo nimvumilie kwa kila atua atayokuwa anafanya kwangu.

" Mimi nikamwambia mama mkwe sawa.

" Basi narudi nyumbani mume wangu ananiambia amina mimi nasafiri kikazi kama miezi miwili nitarudi naomba uwe makini sana na wazazi wangu.

Nashindwa kuleta mfanyakazi hapa kwa sababu baba yangu namjua mwenyewe akili zake.

" Nikamwambia sawa mume wangu safari njema.

" Basi mume wangu akaondoka.

Mimi nikaenda kuoga usiku kumbe mlango wa chooni kitasa cha kufungia kwa ndani kimeharibika.

Jamani nipo kati kati ya kuoga.

Mlango unafunguliwa.

" Mimi nilikuwa nina povu usoni nikajifuta povu fasta usoni.

Kuangalia ni baba mkwe.

Ananiletea mkono kwenye sehemu zangu za siri.

" Nikasema kimoyoni apana ata kama chizi ichi anachofanya hapa sio cha kichizi mbona apeleki mkono sehemu nyengine alete kunako.

Kwanza nikaziba sehemu yangu ya siri na mikono yangu.

" Baba mkwe akawa ananibabajua mkono sasa hili anitoe.

" Jamani naona ananizidi nguvu.

Dah yani...

Lipia 1000 hapo chini kupata mwendelezo wa episode zilizobakia click here to unlock the post

BIBI MSOMI NO 1

MTUNZI JOGOO POLL

Dah kwenye hii dunia usijifanye umemaliza kila kitu mimi naona ajabu uku mtaani kwetu nyambwela kuna bibi anasoma.

Naitwa juma mimi nimesoma mpaka kidato cha 4 sina kazi nipo nipo mtaani.

Nimekaa maskani tunapiga piga soga.

Ndio ukaibuka mjadara wa bibi msomi.

" Sasa mimi nikasema ivi uyu bibi anasoma anataka awe nani mimi nashangaa kuona umli ule anasoma Sisi tumesoma atuna kazi yoyote tupo tupo tu hapa.

" Akatokea jamaa mmoja anaitwa hasani akasema mimi nadhani kuna aja ya Sisi kurudi darasani kama yule bibi inawezekana tukajua mengi kuliko ivi tunajifanya tunajua mambo mengi kumbe akuna lolote tunalolijua.

" Sasa mimi nikampinga ilo swala tunajifanya tunajua mambo mengi akuna lolote tunalolijua nikamwambia ivi bibi yule anaweza akasoma akatuzidi Sisi maharifa.

" Yani sijamaliza kuongea anatokea jamaa mmoja yeye akija maskani kazi yake ni kutukera sisi Sisi tusio na kazi tusio na pesa anaitwa sonny.

Yani moja kwa moja kanishika mimi bega akawa ananiambia mimi kama mfano kwa wote ananikera kweli yani akaanza kusema.

" Ngoja Niwakere

Mwanangu tafuta pesa zako upunguze kumuita kila mtu, "MKUU, KIONGOZI,MKURUGENZI, BOSI!" Unajiabisha sana mwanangu.

Tafuta pesa kijana wangu ili hata Polisi wakikukuta umetulia sehemu wakuulize "MKUU KUNA SHIDA YOYOTE?

" SASA AKAJA BINTI KUMWITA SIJUI KAKA YAKE UNAAMBIWA JAMAA WA KUKERA AKAMWAMBIA NA YULE BINTI IVI.....

" Hata wewe binti tafuta pesa hata siku unapewa appointment ukafika kabla bae wako hajafika uwe na ubavu wa kuagiza hata kinywaji kuliko kusimama nje ukitoa macho utadhani mwewe unazengea kifaranga kumbe unamsubiri aje! Loh!

Tafuta pesa ili eupuke usumbufu wa kujitambulisha kwa kujieleza sanaaa. Unajua mimi ni mtoto wa binamu yake na Trump.Mara ooh, nilisoma na mtoto wa Kikwete. Unaona mateso yote hayo?

Tafuta pesa uepuke mapepo kwenye mikutano ya injili. Ndiyo!! Kwani mapepo huwa wanawapanda Sikule walipokaa maskini??

Tafuta pesa usionekana mkorofi. Kama huna hata kwenye vikao vya familia ukinyosha mkono kuchangia hoja wanasema unataka kuleta fujo, kumbe ana bonge la point!

Tafute pesa uepuke kulala kwenye guest zenye ndala zenye miguu tofauti na rangi tofauti ili usiziibe. Maskini haaminiki kuanzia kwao hadi guest!

Tafuta pesa makonda wa daladala wasikutukane kama yule babu aliyesema KONDA, ONGEZA SAUTI TUMSIKILIZE BABA WA TAIFA------ UNGEMSIKILIZA BABA WA TAIFA UNGEKUWA NA GARI LAKO!

Tafuta pesa ili ukienda ugenini wasiwe na hofu na wewe kwamba unaweza kuondoka usiku wa manane umewaibia.

Tafuta hela ndugu wa mke wakuite SHEMEJI, kama hauna watakuita MUME wa mama! Ohooooo!

" Yani yule binti anaondoka uku anacheka kinamfurahisha kama auna pesa unaitwa mume wa Ohoooo yani mume wa mwajuma au asha awakuiti shemeji.

Yani kashatukera kaondoka zake.

Sisi tukaendelea na mada yetu ya kujiuliza yule bibi msomi anasoma hili iwaje?.

" Sasa atujapata jibu bibi mwenyewe anapita.

Sasa kuna jamaa akamwita tumpime kiwango cha elimu yake tulishangaa alichosema.

Alisema maneno aya...?

MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI

Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.

Katika miji na maeneo yote; wenye majengo ya maana, wenye makampuni makubwa, wenye utitiri wa malori na mabasi, wenye maduka makubwa ni wale wa "darasa la saba” au wale ambao hawakuingia darasani kabisa

Wasomi wengi wana maisha ya kawaida yaani yale ya kiwango cha kubadilisha mboga, wakijitahidi sana wanaishia kujenga nyumba za kuishi na magari mawili ya kutembelea (tena kwa mikopo!)

Wapo wasomi wengi tu wanaoishi kimasikini, kwa lugha ya kistaarabu tunasema wana maisha ya kuungaunga. Kiukweli idadi ya wasomi walio matajiri ni ndogo sana

Lakini Umasikini wa wasomi wengi umeanzia huko shuleni na vyuoni wanakopatia usomi wao. Madarasani kuna mambo mawili wanafundishwa wasomi ambayo ndio yanayowaroga

Hii inachangiwa na mambo mawili:-

I. Wameelimishwa na kuaminishwa kwamba yule anaepata maswali yote kwa usahihi ndio anaonekana amefaulu. Ukikosea unahesabika kuwa u mjinga na wenyewe wanaita umefeli

Hata hivyo katika maisha ya kawaida hasa kwenye mchakato wa kutafuta hela, kujaribu na kukosea ni sehemu ya mafanikio

Kadiri unavyojaribu na kukosea mara nyingi ndivyo unavyojifunza na ndivyo nafasi ya kutajirika kwako inakuwa kubwa!

Wasomi wengi kwa sababu ya "mentality" ya kuogopa kukosea huwa hawapendi kujaribu biashara kwa hofu ya kushindwa kuiendesha, na huamua kufa kimasikini wakitegemea mishahara pekee kwa sababu mishahara ndio pato lao la uhakika

Madarasani kunahimizwa ubinafsi badala ya umoja. Angalia namna mitihani inavyofanyika. Kila mwanafunzi anafanya mtihani peke yake, na ukikutwa unaangalizia ama mnasaidiana na mwenzio ndani ya chumba cha mtihani mtapata adhabu kali ikiwemo kufutiwa mtihani!

Katika maisha ya kawaida hasa ya kusaka fedha, unahitajika ushirikiano mkubwa sana, baina yako na wadau, wateja, wafanyakazi wenzio, marafiki n.k. Kwa kifupi unatakiwa kuwa na Networking ya kutosha.

Huwezi kufika mbali kiuchumi kama utakuwa na "mentality" ya ubinafsi unaosisitizwa madarasani!

Simaanishi kusoma hakuna maana, isipokuwa ninakwambia: Kama ukipata nafasi ya kusoma, soma kwa bidii; lakini usibebe kila wanachokulisha madarasani; ukakileta huku mtaani

Mtaani panahitaji akili ambayo ni tofauti na hiyo iliyopimwa kupitia kukariri ya vitabuni, mwishoni wanakuzawadia makaratasi yaitwayo vyeti

Ukitaka kufanikiwa ungana na waliofanikiwa wakuelekeze

hata hivyo nilazima wasomi kutambua na kujikita katika kushikana mikono.Unajikomoa pale unapoona fursa harafu ukaanza maneno badara ya vitendo.Umekosana na mwenzio hujakosana na fursa ya maisha.

" Jamani bibi aliondoka akatuacha na maswali magumu sana tunamdharau alichosema hapa ni kikubwa sana kinaitaji upana wa akili.

Nilizinduka na kumkimbilia bibi msomi uku namwita bibi bibi bibi.

" Bibi alisimama akanisubiri mimi.

" Nikamwambia bibi naomba.....

Pata muendelezo uliobakia wa simulizi hii (episode 10) kwa kulipia hapo chini. Pia , usisahau ku subscrib katika huu ukurasa wangu ili uwe wa kwanza kupata simulizi zangu pindi ninapochapisha mara tatu kwa wiki. Skuran kwa support. click here to unlock the post