Lilian Chonya @lilianchonya
Mtu yeyote anaweza Kupika keki, lakini ni watu wachache sana ambao wanaweza Kupika keki nzuri na tamu. Kitabu hiki kitakupa mwongozo wa Hatua Kwa Hatua za upishi na upambaji wa keki. Kuanzia Sasa utakuwa unapika keki ambazo kila atakayekula atashangazwa na kipaji chako cha kupika keki. Kuna utajiri wa maarifa ndani ya kitabu hiki na hata kwa mtu ambaye hajawahi kupika keki wala kupamba atajifunza na kuelewa Kwa urahisi sana. click here to unlock the post
Lilian Chonya @lilianchonya
Hata kama hujawahi kutengeneza Ice Cream kupitia kitabu hiki utaengeneza ice cream yako ya kwanza. Katika kurasa za kitabu hiki kuna maelekezo ya hatua kwa hatua jinsi utakavyoweza kufanikisha nia yako. Lengo la kitabu hiki sio tu ujifunze bali utaengeneza hicho unachokipenda tena na tena click here to unlock the post
Lilian Chonya @lilianchonya
Je, unataka kupungua uzito bila kutumia dawa?
Je, unataka kuondoa kitambi bila mazoezi?
Je, unataka kuwa na ngozi nzuri na laini siku zote bila kutumia vipodozi?
Je, unataka kuimarisha afya yako?
Je, unataka kujifunza kutengeneza vinywaji tofauti?
Basi hiki kitabu ni kwa ajili yako, kimesheheni aina za vinywaji tofauti vya matunda na mbogamboga kama Juisi, Smoothies, Milkshakes na Detox water zitakazo kidho mahitaji yako yote.
click here to unlock the post
Lilian Chonya @lilianchonya
Usimpatie mtoto chakula cha mazoea, bali mpatie chakula ambacho kitamsaidia kuimarisha afya yake ya mwili na akili. Ndani ya kitabu hiki kuna mapishi tofauti ya vyakula na vinywaji vya mtoto wa kuanzia miezi 6 na kuendelea. Ni vyakula ambavyo hata kama mtoto hapendi kula basi yeye mwenyewe ataanza kuomba umwongezee zaidi au kama haongezeki uzito utaanza kuona mabadiliko chanya kwenye uzito wake. click here to unlock the post
Lilian Chonya @lilianchonya
Mapishi yako matamu ni furaha kwa wale wanaokula chakula chako. click here to unlock the post