Pinned Post
MAPENZITIPS
MAPENZITIPS @mapenzitips

MAPENZITIPS
MAPENZITIPS @mapenzitips

NANI ANAFURAHIA ZAIDI SEX – MWANAMKE AU MWANAUME?

Sex ni moja ya mambo yanayoweza kuwa tamu kupita maelezo kulingana na jinsi inavyofanyika. Lakini swali kubwa ambalo limekuwa likizua mijadala mingi ni: Kati ya mwanaume na mwanamke, nani anapata raha zaidi kitandani?

Kwa wengine, jibu ni rahisi—wanaume kwa sababu ya mshindo wa haraka na wa moja kwa moja. Kwa wengine, wanawake kwa sababu wanaweza kufika kileleni mara nyingi. Lakini ukweli ni upi?

Hebu tuzame deep ndani ya sayansi, hisia, na uzoefu wa kila upande ili kupata majibu sahihi… click here to unlock the post

MAPENZITIPS
MAPENZITIPS @mapenzitips

DALILI ZA MPENZI ANAETAKA MUACHANE.
Kama kuna kitu kinachoumiza kichwa ni zile hisia za kwamba mpenzi wako hataki tena kuwa na wewe lakini hakupi jibu la moja kwa moja. Sasa, kama umekuwa ukihisi kuna kitu hakiko sawa, hizi ni dalili tano kali za mtu anayepanga kukuacha lakini hataki kusema moja kwa moja.

1️. Ha-spend muda na wewe kama mwanzo
Zamani ilikuwa full vibes! Kila siku simu, texts za asubuhi, jioni anakutakia usingizi mwema, na hata katikati ya siku anakumbuka kuku-check. Lakini siku hizi? Ukichati naye unahisi kama unaomba msaada wa serikali.

—Majibu yamekuwa mafupi na makavu – “Okay.” “Sawa.” “Poa.”

—Hajali ukiwa kimya – Zamani akikukosa tu kwa saa moja alikuwa anapiga simu kuuliza uko wapi. Sasa? Unaweza kupotea hata siku mbili na hashtuki.

— Anaanza kusingizia mambo mengi – “Niko busy,” “niko stressed,” “nina kazi nyingi.” Lakini ukienda Insta yake unakuta anapost memes, anacomment kwa watu wengine, au anaonekana active WhatsApp status.

Sasa hapa kuna mambo mawili:
— Kama kweli ana stress – Ni vizuri kumpa muda wake, lakini kama unaona ana muda wa wengine na siyo wewe, kuna kitu hakiko sawa.

—- Kama anajaribu kukuondoa taratibu – Anatumia “busy” kama excuse ya kukufifisha polepole. Anaanza kuzoesha moyo wake kuishi bila wewe, na hataki kukuambia moja kwa moja ili usulize maswali mengi.

Dalili kubwa:
~ Ukiona simu hazipokelewi, na baadaye unapewa excuses zile zile kila siku.
~ Unatumia siku nzima hujui hata yuko wapi au anafanya nini.
~ Anakuwa active kwa watu wengine, lakini wewe unaonekana kama kero.

Ukiona mtu anaanza kukufanya kama option badala ya priority, basi tayari anapunguza uwepo wako kwenye maisha yake.

SASA ,UNATAKIWA KUFANYA NINI KATIKA HALI KAMA HII??

ENDELEA KUSOMA HAPO CHINI

SUBSCRIBE UWEZE KUSOMA MAKALA HII NA NYINGINE NYINGI… click here to unlock the post

MAPENZITIPS
MAPENZITIPS @mapenzitips

WANAUME HAWAPENDI MAMBO HAYA KITANDANI

Wanaume wengi hawapendi kusema waziwazi baadhi ya vitu vinavyowakera kitandani, lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo yanaweza kuharibu mzuka wao kabisa!

Sasa wewe kama mwanamke unaemjali mpenzi wako epuka haya mambo yafuatayo:

Subscribe KUSOMA Makala hii na nyingine nyingi!! click here to unlock the post

MAPENZITIPS
MAPENZITIPS @mapenzitips

UKE UNANYONYWA HIVI!!

Ukitaka kumfurahisha mwanamke mpaka akapotea kwenye ulimwengu wa raha, unatakiwa kuufahamu mwili wake. Usifanye haraka, usiwe na pupa. Hizi hapa ni hatua za kufanya akumbuke jina lako hata akiwa usingizini...

ENDELEA KUSOMA HAPO CHINI!! click here to unlock the post

MAPENZITIPS
MAPENZITIPS @mapenzitips

MUDA MZURI WA KUCHOMEKA UUME NI MUDA GANI?

Maandalizi kabla ya tendo ni muhimu sana !1

swali linabaki ni muda gani mzuri wa kuingizaa...

Tumeeleza hapa. click here to unlock the post

MAPENZITIPS
MAPENZITIPS @mapenzitips

MICHEZO MOTO MOTO YA CHUMBANI ITAKAYOFANYA PENZI LAKO LISIPOE ABADAN...
Kuna wakati unakutana na mpenzi wako na mnakuwa bored kwakua hamna vitu vya vipya vya kufanya kuchangamsha penzi, na hii ni changamoto kubwa sana kwa wengi walioko kwenye mahusiano ya muda mrefu, baada ya muda vitu ni vilevile kwahiyo mapenzi yanapoa. Hivyo basi hii list ya bedroom games zitasaidia mapenzi yawe moto kama mwanzo.

Kwa hiyo,ukiwa tayari kwa michezo weka kando simu , peaneni muda wa kufurahia na kujifunza tena kupendana zaidi na zaidi.

Michezo hii itawapa nafasi ya kufurahia wakati wenu pamoja,na kuongeza hisia za mapenzi kwa njia rahisi Sanaa..

Tuanze na…

MCHEZO WA KARATA

Mchezo huu niwa ushindani kati ya wapenzi wawili, na adhabu za mchezo huu zinaufanya mchezo kuwa moto zaidi.

Jinsi ya Kucheza:

Chagua mchezo wa kadi rahisi:
Cheza mchezo wowote wa kadi ambao nyote wawili mnauweza

Kila anaposhindwa mmoja wenu anavua nguo moja.

Mchezo unamalizika wakati mmoja amebaki uchi au wote wamebakisha nguo kidogo, au wakati mmoja wenu aki give up!

Pro tips:
Vaeni nguo sexy, lingerie au mavazi mepesi yakuvutia.

Zawadi ya kimahaba kwa mshindi itakua ndio hitimisho la mchezo huu.

Mshindi ata.....

ENDELEA KUSOMA HAPO CHINI.. click here to unlock the post

MAPENZITIPS
MAPENZITIPS @mapenzitips

HATA KAMA UNAMPENDA VIPI UKIONA DALILI HIZI UJUE HAPO HAKUNA MAPENZI YA DHATI...SKIP AT YOUR OWN RISK
(5min Read )
Mapenzi ni sauti nyororo inayoshuka polepole ndani ya roho, yanapofika, yanakaa kama nyumbani. Ni joto la mikono Miwili inayoshikana kimyakimya, ni macho mawili yanayokutana na kuelewana bila maneno. Mapenzi ni kila kitu tunachotamani, na kila kitu tunachohitaji. Ni ahadi inayoshikiliwa kwa matumaini, ndoto inayopewa uhai na wawili wanaoaminiana.Lakini mapenzi pia ni kitu cha ajabu—yanaweza kuwa mwangaza wa kutuongoza au giza linalotufunika. Mara nyingine, yanavaa sura nzuri, lakini kwa ndani, yanaficha makovu na sumu. Yanajifunika kwa jina la upendo, lakini kwa kweli, si upendo hata kidogo.Ndiyo, mapenzi ni kila kitu—ni kitu chochote. Lakini hayapaswi kuwa haya yafuatayo....... click here to unlock the post

MAPENZITIPS
MAPENZITIPS @mapenzitips

KAMA UNAJIULIZA KWANINI AMEKUSAHAU HARAKA NA ALIAHIDI HATOKUACHA MILELE....JIBU HILI HAPA?

Kuna kitu cha kushangaza kuhusu binadamu—jinsi wanavyoweza kusema "Nakupenda," kwa macho yenye nuru, halafu baada ya muda mfupi, macho yale yale yakuangalie bila hisia. Jinsi wanavyoweza kushikilia mkono wako kwa nguvu kana kwamba hawatakaa waachilie, halafu siku moja waondoke bila hata kuaga.

Wanawezaje kusahau haraka?Ulishawahi kupenda mtu kwa moyo wako wote, ukampa kila sehemu yako bila masharti? Ukawahi kuwa na mtu ambaye ulimwamini kiasi cha kufikiri hatakaa akuangushe?

Halafu siku moja, kana kwamba ulikuwa tu hadithi ya muda mfupi, mtu huyo akakusahau. Jina lako likapotea kwenye midomo yake, kumbukumbu zenu zikawa vumbi lililofutwa na upepo wa wakati.

Ni rahisi kusema, "Maisha yanaendelea." Lakini kwa mtu aliyebaki na kumbukumbu, anayeshangaa ilikuwaje akasahaulika kwa urahisi, ukweli huu unauma kama kisu kilichochomwa polepole moyoni.

Watu husahau haraka, lakini je, wanasahau kwa sababu ya muda, au kwa sababu ya mioyo yao isiyo na uzito wa mapenzi ya kweli?

Wakati mtu anakupenda, maneno yake huja na uzito wa hisia—"Sitakaa nikuwache," "Wewe ni wangu milele," "Hakuna mtu ninayempenda kama wewe." Hayo maneno yanapokuwa mapya, yana nguvu ya kufuta mashaka yote moyoni. Yanakufanya uamini kwamba safari hii ni ya milele.

Lakini kuna kitu cha ajabu kuhusu binadamu.....

ENDELEA KUSOMA HAPO CHINI click here to unlock the post