

MAPENZITIPS @mapenzitips
MICHEZO MOTO MOTO YA CHUMBANI ITAKAYOFANYA PENZI LAKO LISIPOE ABADAN...
Kuna wakati unakutana na mpenzi wako na mnakuwa bored kwakua hamna vitu vya vipya vya kufanya kuchangamsha penzi, na hii ni changamoto kubwa sana kwa wengi walioko kwenye mahusiano ya muda mrefu, baada ya muda vitu ni vilevile kwahiyo mapenzi yanapoa. Hivyo basi hii list ya bedroom games zitasaidia mapenzi yawe moto kama mwanzo.
Kwa hiyo,ukiwa tayari kwa michezo weka kando simu , peaneni muda wa kufurahia na kujifunza tena kupendana zaidi na zaidi.
Michezo hii itawapa nafasi ya kufurahia wakati wenu pamoja,na kuongeza hisia za mapenzi kwa njia rahisi Sanaa..
Tuanze na…
MCHEZO WA KARATA
Mchezo huu niwa ushindani kati ya wapenzi wawili, na adhabu za mchezo huu zinaufanya mchezo kuwa moto zaidi.
Jinsi ya Kucheza:
Chagua mchezo wa kadi rahisi:
Cheza mchezo wowote wa kadi ambao nyote wawili mnauweza
Kila anaposhindwa mmoja wenu anavua nguo moja.
Mchezo unamalizika wakati mmoja amebaki uchi au wote wamebakisha nguo kidogo, au wakati mmoja wenu aki give up!
Pro tips:
Vaeni nguo sexy, lingerie au mavazi mepesi yakuvutia.
Zawadi ya kimahaba kwa mshindi itakua ndio hitimisho la mchezo huu.
Mshindi ata.....
ENDELEA KUSOMA HAPO CHINI..
click here to unlock the post

MAPENZITIPS @mapenzitips
Hot bedroom games to spice up your love Life click here to unlock the post