About me
171 Likes
265 Subscribers
Tanzania, United Republic of
Member since 10 May, 2023
π Walioko single na wanatamani mahusiano bora
π Walioko kwenye mahusiano yenye changamoto
β€οΈ Na walioko kwenye mahusiano yenye furaha wanaotaka kuyalinda
Ndani ya community hii utapata:
β
Ushauri kutoka kwa coach wa mahusiano
β
Kusoma na kujifunza kutoka kwa shuhuda
β
Maarifa ya kisaikolojia, kiroho na kijamii kuhusu mahusiano ya sasa