clubzila |
    View all
  • Explore
  • Login
  • Getting started
0%
Petro Michael

Petro Michael

Active Rich 2 B

Subscribe for Free Tip
Facebook
Twitter
WhatsApp
Email
Text message
Copy link
  • 4 Posts
  • 5 Photos
  • 0 Videos
  • 0 Audio
  • 0 Files
About me

10 Likes 7 Subscribers Tanzania, United Republic of Member since 21 Jan, 2025 Welcome to my page. If you like my content, please consider support. Thank you for your support!

© 2025 clubzila |
  • Terms of Service
  • Privacy
  • About us
  • How it works
  • Cookies Policy
  • Support
  • Contact us
  • Blog
  • English
    English EspaΓ±ol

Pinned Post
Petro Michael
Petro Michael @u3705

2
Facebook
Twitter
WhatsApp
Text message

Pinned Post
Petro Michael
Petro Michael @u3705
𝐓𝐇𝐄 𝐆𝐑𝐄𝐀𝐓𝐄𝐒𝐓 ππˆπ“π‚π‡ πˆππ•π€πƒπ„π‘ πŽπ… 𝐀𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„

Kila jambo lina fundi wake liwe la kipuuzi au la maana, lazima atakuepo mtaalamu mwenye ujuzi nalo ndio mana walikuepo mafundi wa Mbavu kama Charlie Chaplin na sasa wapo wakina Joti walikuepo watu smart kichwani Kama Albert Eistein na Isac Newton wameacha alama yao kila jambo na mkali wake

Fikra zangu zinarudi nyuma miaka 15, Brazil walipokuja kucheza na Taifa stars, tulipigwa bao 5-1 bao pekee la Jabir Aziz Stima kona ya Uhuru Seleman, lakini ktk mchezo ule nalikumbuka sana Tukio la Yule mchizi alieruka jukwaani na kwenda kumkumbatia Ricardo kaka alitimiza ndoto adimu sana kuifikia hasa ukiwa Africa 

Pale Hispania kuna mwamba anaitwa Jaume Marquet maarufu kama Jimmy Jump kutoka Catalonia amejizolea umaarufu mkubwa kote duniani sababu ya tabia zake za kuvamia shughuli hafanyi hivi kwenye soka tu kwani ameshatisha mpaka kwenye mbio za magari  na Tennis 

Jimmy  alijizolea sifa kibao tangia 2004 alipovamia uwanjani ktk fainali ya Euro mechi baina Ugiriki na Ureno na kumrushia bendera ya Barca, Luis Figo aliekua amehamia Madrid miaka minne nyuma tukio hili lilitokea kama majibu ya yeye kuhama Barca 

Kwenye mechi ya Nusu Fainali michuano ya Ulaya msimu wa 2005/06 kati ya Arsenal na Villarreal alikimbia kwenye njia za uwanja kabla kipindi cha pili akijaanza kisha kuvamia uwanja na kumfuata Thiery Henry akiwa na jezi ya Barcelona namba 14 ambapo badae tarehe 25 June 2007 Henry alijiunga nao

Katika fainali ya ligi ya mabingwa ulaya mwaka  2007 iliyopigwa Athens Ugiriki baina Ya Liverpool na AC Milan, Jimmy alivamia uwanjani akiwa na bendera ya Ugiriki  tukio ambalo Television za uwanjani hazikumulika

mwaka huohuo alivamia mechi ya Bayern na Barca baada ya messi kufunga kisha kumvalisha Messi kofia kubwa nyekundu

 Katika mechi za Euro 2008 alivamia nusu fainali kati ya Ujerumani na Uturuki, huku akiwa na Bendera ya Tibet yenye maandishi "Tibet is Not China"

 Julai 11 mwaka 2010 pale kwa madiba, Johannesburg dakika chache kabla ya mechi ya fainali baina Uholanzi na Hispania

Baada tu ya kombe kutolewa kama ilivyotaratibu ya fainali Jimmy aliruka na kwenda kuligusa kombe huku akitaka kulivesha barret kabla hajazuiwa na walinzi alipigwa faini ya Rand 2000

Jimmy sio msumbufu na maarufu tu kwenye soka!

 Mwaka 2004 aliKimbia katika  njia za magari ya Formula 1  kwenye mbio za Hispania (Spanish Grand Prix) kabla mbio hazijaanza licha ya kua na mashabiki wengi, alikosolewa vikali sana kwakua alihatarisha uhai wa madereva na licha ya kwamba Magari yalikua kwenye kasi ya kawaida sababh ilikua ni mwanzo

Mwaka 2009   katika fainali za mmoja mmoja upande wa  Wanaume za French open alivamia Court na kumsogelea kwa nguvu Roger Federar kutaka kumdhuru kwa kulazimisha kumvesha kofia alifungwa miezi 12 jela

Jimmy hakuishia hapo

ktk tukio la  Eurovision Song contest 2010 huko Norway alivamia stage akicheza mziki wakati  Daniel Diges akiimba aliposhuka stejini alipelekwa polisi moja kwa moja na kupigwa faini kubwa

Mwaka 2011 alivamia wakati wa ugawaji wa tuzo za Goya ambapo alivamia Stejini muda mfupi kabla tuzo ya Msanii bora haijakabidhiwa kwa  Javier Bardem kabla hajawai alizungumza maneno machache kwenye microphone kisha kuivesha Tuzo hio kofia 

Umaarufu ni gharama na Jimmy anatumia pesa nyingi sana kusafiri maeneo tofauti duniani kushiriki matukio tofauti kulipa faini na kujenga jina lake

2
Facebook
Twitter
WhatsApp
Text message

Pinned Post
Petro Michael
Petro Michael @u3705
Akiwa kwenye Msimu wake wa kwanza pale PSV Aliitwa Katika Timu ya Taifa kwa Mechi ya Kirafiki dhidi ya Ujerumani huko Brazil

Kocha Carlos Alberto Parreira hakumtumia hali iliompa HASIRA Romario! Alisema Bora angebaki Uholanzi Kama Angejua Hatacheza! Matamko Haya Yalisababisha Parreira KUMZUIA kabisa RomΓ‘rio kuchezeza Timu ya Brazili!

 Brazil Ilicheza Mechi Saba za Kwanza za Kufuzu Kombe la Dunia la 1994 bila RomΓ‘rio! Walipata kipigo chao cha Kwanza katika mechi za  Kufuzu Kombe la Dunia Dhidi ya Bolivia

 Kutengwa Kwake Kulizua Wimbi la HASIRA Huku Waandishi wa Habari & Mashabiki wakitaka arejeshwe kwenye Timu! Brazil ilikua nyumbani MaracanΓ£ kwenye mechi ya mwisho inawabidi washinde au wasale ili Kumaliza Wa Kwanza Katika Kundi Lao

Kabla ya Mechi Parreira alikata tamaa juu ya msimamo wake na kumuita Romario kikosini, kisha kumkabidhi jezi namba 11 namba yake pendwa

Kuelekea kwenye mchezo Romario alisema NAJUA KINACHOKWENDA KUTOKEA! NAKWENDA KUWAMALIZA URUGUAY, Ni kweli Brazil alishinda Bao 2-0 bao zote akifunga Romario

Baada ya mechi Kocha aliekula matapashi yake mzee Pereira alisema "MUNGU AMEMTUMA ROMARIO KUJA MARACANA"

⏩ FAST FORWARD Kombe la Dunia la 1994 na RomÑrio Alikuwa Nyota wa onyesho, Akifunga Mabao 5, Akitunukiwa Mpira wa Dhahabu (Mchezaji Bora) na Kusaidia Brazil Kuweka Historia kwa Kushinda Kombe lao la NNE la Dunia!

Wajuvi wanasema WATU WABUNIFU NA WENYE VIPAJI SIKU ZOTE WANA KIBURIπŸ‘‹

3
Facebook
Twitter
WhatsApp
Text message

Pinned Post
Petro Michael
Petro Michael @u3705

Usiabudu Maisha ya watu mashuhuri..Soma hapa chini kunielewa vizuri click here to unlock the post

You must subscribe to view this post.
  • 1

3
Facebook
Twitter
WhatsApp
Text message

Fill Your Details
Login with Google
or
Forgot Password?
    Don't have an account?
    Two-Step Authentication
    We have sent you a code to your email
    Resend code