"Sometimes you have to fake it until you make it.”

Ndio tunaweza kusema

Leo hii Red Bull ni moja ya vinywaji vinavyotawala dunia — nembo inayojulikana kila kona ya ardhi.

Lakini mafanikio haya hayakuja kwa bahati.

Hayakutokea kwa kampeni za kawaida.

Yalikuja kwa njama ya kipekee na ya kiustadi iliyopangwa kabla hata ya bidhaa kuuzwa rasmi.

Yani Red Bull kabla haipo madukani ilikuwa maarufu

Simulizi ya Red Bull na ujanja wa kibiashara usio na mfano.

Thread click here to unlock the post

JE UNAMJUA MTOTO WA FAMILIA YA KIFALIME AMBAYE YUPO KITANDANI ZAIDI YA MIAKA 20??

TULIA SHUKA NA UZI HUU. click here to unlock the post

Unamjua msanii Maarufu dunuani Khety pery na yaliyopo nyuma ya pazia?

basi msome hapa click here to unlock the post

MWANASAYANSI ALIYEFANYA MOJA YA UTAFITI MGUMU ZAIDI

Michel Siffre

Mwaka 1972, mwanasayansi wa Kifaransa Michel Siffre alijifungia ndani ya pango lenye giza totoro umbali wa futi 440 chini ya ardhi kwa siku 180.

shuka nayo click here to unlock the post

Manchester United walikuwa wakijiandaa kumsajili mmoja wa washambuliaji hatari kutoka Amerika ya Kusini kabla ya kushambuliwa.

Salvador Cabanas alipewa tuzo ya Mchezaji Bora huko Marekani ya Kusini mwaka 2007 na kocha, Sir Alex Ferguson akaona alifaa kabisa kwenda kukipiga katika timu ya miamba hiyo ya England.

Uziii mtamu sana shuka nao click here to unlock the post

Lilikuwa ni tukio la utekaji wa ndege ya ATC, tukio ambalo lilifanywa na vijana watano (5), siku ya tarehe 27 February 1982...

Je ulikuwa unalifahamu hili
Basi sogelea hapa click here to unlock the post

Hiki ndicho kisa cha mtu wa kutisha zaidi duniani, Kichaa Michael Gerard Tyson

Aliiba nyumba, akamfanya Brad Pitt mtumwa maisha yake, na akampa mshauri wake wa gereza mimba

Kuanzia kutumia kilo za kokeini hadi kurarua majirani zake.

Uzi shuka nayo. click here to unlock the post

SPARTACUS: MTUMWA ALIYEITETEA ROMA

Sahau kila ulichokiona kwenye ile filamu ya kirumi ya Spartacus. Kiukweli mwenye jina, Spartacus alikua ni kiongozi wa kijeshi ambaye aliangukia mikononi mwa Warumi na kuuzwa kama mtumwa huko Roma.

shuka nayo click here to unlock the post

SIKU DUNIA ILIPOLIA- KIFO CHA MICHAEL JACKSON (MJ).

Juni 25, 2009, ilikuwa siku ambayo ulimwengu wa muziki ulisimama kwa mshangao na huzuni. Habari zilipoenea kuwa Michael Jackson, Mfalme wa Pop, amefariki dunia, mashabiki wake kote duniani waliganda kwa mshtuko..........
Unajua ilikuwaje??

shuka nayo click here to unlock the post