Zinazovuma sasa · #1
Money Heist: Ubungo Money Heist: Ubungo 2006
DramaKusisimua sehemu 73 sehemu 21 za bure
Mwaka 2004 May 21 majambazi yalivamia NBC Moshi na kupora 5.3 billions. September 20,Mwaka 2005, duka la kubadilisha pesa la Mc Sons lilivamiwa jijini Dar na majambazi walikwapua Tshs Milioni 150 na kuondoka bila wahusika kubainika.
Zinazovuma sasa · #2
Mauaji ya Kigamboni: Kifo cha Naomi
DramaKusisimua sehemu 2 sehemu 5 za bure
Mei 2019, Hamisi anaripoti polisi kuwa mkewe Naomi amepotea. Ujumbe wa simu unadai amesafiri nje ya nchi. Lakini wazazi wake wanaanza kuuliza maswali, na majalada mawili ya polisi yanakutana kwa mtu mmoja.
Zinazovuma sasa · #3
A Shadow of Death (Aneth Msuya)
Drama sehemu 3 sehemu 4 za bure
Mei 2016, Aneth Msuya, mchumi wa Wizara ya Fedha na dada wa Bilionea Msuya, anakutwa ameuawa nyumbani kwake Kigamboni. Simu za ajabu, binti wa kazi aliyetoweka na mgogoro wa mirathi vinafungua mlango wa kesi iliyotikisa nchi.
Zinazovuma sasa · #4
Tegeta Escrow Saga
Drama sehemu 19 sehemu 2 za bure
Mamilioni ya Escrow yameshatoka BOT, na mtu mmoja anajua mtego unamsubiri. Ijumaa ya Juni 2017, mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa anapanga kutoroka kupitia VIP ya Airport ya Dar kuelekea Afrika Kusini, huku kila aliyemhonga akikataa chake. Ndege inasubiri, tiketi iko mkononi, lakini kuna kitu kinasubiri nje ya lango. Je, ataondoka?
Zinazovuma sasa · #5
The Mriam Mrita's Death
Kusisimua sehemu 8 sehemu 2 za bure
Mahakama inamwachia huru mjane wa Bilionea Msuya na mwenzake, na familia inalia. Simulizi hii inarudi nyuma: wosia, mamilioni, binti wa kazi aliyenunuliwa, ukamataji wa usiku na vita ya kisheria juu ya maelezo ya ungamo.