About me
1 Likes
Tanzania, United Republic of
Member since 30 Apr, 2025
Jina: Allan Ben
Taaluma: Mtaalamu wa Mipango Miji (Town Planner)
Majukumu ya Ziada:
- Mwandishi wa Riwaya za Kijamii na Kuelimisha
- Muelimishaji wa Rika kuhusu Maendeleo na Maadili
- Mtoa Hoja Fikirishi kwa Maendeleo ya Jamii
Maudhui Ninayotoa:
Ninawaletea maudhui yanayochochea fikra, yanayobeba mwelekeo wa kiroho, kijamii na kiuchumi
Pia kuwaburudisha watu wa rika zote
Karibuni sana