About me
Tanzania, United Republic of
Member since 27 Mar, 2025
Kama unatamani kuongea kiingereza kwa njia rahisi na kwa gharama sawa na bure, basi SUBSCRIBE Channel hii ili uanze kujifunza kuongea kiingereza leo hii. Uzuri ni kwamba unajifunza kwa muda wako ambao uko huru yaani free time. Masomo yetu yamefafanuliwa vizuri kabisa kwa lugha rahisi hivyo huhitaji tena mwalimu wa kukufundisha kwani kila kitu kinaeleweka vizuri kabisa hata kwa wewe ambae hukufanikiwa kumaliza darasa la saba utajifunza na kuelewa vizuri kabisa. KARIBU SANA