About me
243 Likes
9 Subscribers
Tanzania, United Republic of
Member since 02 Mar, 2025
Karibu katika familia ya George's Kitchen.
Ndani ya siku 30 zijazo utaenda kuboresha na kujifunza mapishimbali mbali pamoja na kushare recipes za pishi husika..
1. Pilau aina 3
a). Pilau la 5 star
b). Pilau mbuzi
c). Pilau la mtindi
2. Mandi ya kuku
3. Biryani aina 2
a). Indian biryani
b). Swahili biriyani
4. Chapati aina 2
a). Chapati za Kusukuma
b). Chapati za maji
5. Macaroni aina 2
a). Macaroni ya nyama kusaga
b). Cream macaroni
6. Butter naan
7. Kuku choma
8. Chicken stew
9. Chicken marry me
10. Vitumbua
11. Vibibi
12. Mahamri
13. Fish fingers
14. Rojo la nyama
15. Rost la maini