About me
2 Likes
Tanzania, United Republic of
Member since 10 Mar, 2025
ποΈ Animation and Visual Effects (VFX) content (picha za michoro na mjongeo) ; 2D and 3D (chapa-mbili na chapa tatu) art.
π¨ Digital art - picha za kidigitali - unaweza kuzitumia kama wallpaper kwaajili ya simu na kompyuta ama kuchapisha (print) kwa matumizi binafsi na kadhalika.
π¦ Digital merchandise (bidhaa za kidigitali) - Mockup templates (Photoshop PSD), 2D & 3D stock images and videos,
π Illustrated books and articles (vitabu na makala (za visa & mikasa mbalimbali) zilizoambatanishwa na michoro)
β οΈKwa matumizi ya kazi zangu kibiashara (commercial use license), wasiliana nami kwanza.
π« No AI images or videos. Picha zote za michoro na mjongeo zinachorwa/jengwa kwa mikono na sio Akili Mnemba.
π© DM or email me for private commission requests.