Axis of Evil

Axis of Evil

Na Fortunatus Buyobe

Hadithi sehemu 10 za bure

Mwandishi wa Kitanzania anafuatilia njia za usafirishaji haramu wa dawa za kulevya kutoka Brazil na Pakistan kupitia Dubai na Msumbiji, kisha anaeleza kisa cha mwaka 2013 katika uwanja wa ndege wa Johannesburg, ambapo wanawake wawili vijana walikamatwa wakiwa na mabegi sita yaliyokuwa na unga unaoshukiwa kuwa ni dawa ya kulevya aina ya Crystal Meth.

▶ Tazama kwenye app

Sura ya 1

Marehemu huwa haongelewi kwa mabaya, Lakini matendo yao hapa duniani hayatufungi mikono kuyajadili kwa ajili ya mafundisho ya vizazi vijavyo.

Endelea kwenye app ya Clubzila.