clubzila |
    View all
  • Explore
  • Login
  • Getting started
0%
Shani anafi

Shani anafi

Active Henna designer

Get access Tsh5,000.00/mo Tip
Facebook
Twitter
WhatsApp
Email
Text message
Copy link
  • 2 Posts
  • 2 Photos
  • 0 Videos
  • 0 Audio
  • 0 Files
About me

3 Likes Tanzania, United Republic of Member since 05 May, 2025 Welcome to my page. If you like my content, please consider support. Thank you for your support!

© 2025 clubzila |
  • Terms of Service
  • Privacy
  • About us
  • How it works
  • Cookies Policy
  • Support
  • Contact us
  • Blog
  • English
    English Español
Pinned Post
Shani anafi
Shani anafi @u16732
Wapendwa wanaopenda kujifunza na pia kuchora henna na piko kuna vitu muhimu kabla ya kujua au kuchora au kumchora piko/henna customer wako.

MUHIMU KUZINGATIA:
1. Mchorwa anawe kwa maji safi.
2. Mchorwa akaushe sehemu anayotaka kuchorwa.
3. Mchorwa asipake mafuta wala lotion mana akipaka henna au piko haitakaa wala kukoza vizuri.
  KWA MCHORAJI SASA; 
1. Kutengeneza piko kwa kufuata njia nzuri.
2. Koni ya piko au henna iwe nzuri inayoweza kutoa maua mazuri zaidi.
3. Tumia mto au meza kwa ajiri ya kumuegemeshea mchorwa.
4. Tulia na usiwe na mambo mengi kichwani kwani henna na piko haiijati mawazo🥰☺️.
     Nadhani mnenielewa wapendwa wangu

1
Facebook
Twitter
WhatsApp
Text message

Pinned Post
Shani anafi
Shani anafi @u16732
Hellow customer wangu🥰 karibuni kuchora na kujifunza pia henna na piko

2
Facebook
Twitter
WhatsApp
Text message

Fill Your Details
Login with Google
or
Forgot Password?
    Don't have an account?
    Two-Step Authentication
    We have sent you a code to your email
    Resend code