AL_WAQAR
AL_WAQAR @AL_WAQAR

ZIJUE TARATIBU ZA DHAMANA YA MTUHUMIWA/ MSHITAKIWA.

Miongoni mwa mambo yanayowasumbua sana Watu kuhusiana na Sheria ni Utaratibu wa kupata dhamana (bail) kwa ajili yao na au wapendwa wao wanapoihitajia mara baada ya kujikuta katika mikono ya Sheria kupitia Vyombo vya Dola na Sheria kama Polisi na Mahakama.
Fuatana nami Mwanasheria wako Hassan Mlanga @ ALWAQAR kunufaika na makala hii.....

KWA MASWALI, MAONI AU USHAURI KUHUSIANA NA SHERIA AU MSAADA WA SHERIA, NIANDIKIE KATIKA SEHEMU YA MREJESHO (COMMENTS), NITAKUJIBU KWA UWEZO NA MAJAALIWA YA MWENYEZI MUNGU.
Karibu sana. click here to unlock the post

AL_WAQAR
AL_WAQAR @AL_WAQAR

LIMEKUWA NI JAMBO LA KAWAIDA KWA WATU KUTENDA MAKOSA AU KUTENDEWA MAKOSA AU KUTAKA KUFANYA MAMBO MBALIMBALI YANAYOHUSIANA NA SHERIA, LAKINI WASIJUE HATA PA KUANZIA.

KUYAJUA HAYA NA MENGINE MENGI KUHUSIANA NA SHERIA ZA TANZANIA NA NCHI ZINAZOFUATA MFUMO WA SHERIA WA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA, FUATANA NAMI MWANDISHI WAKO NINAYEANDIKA KWA JINA PENNAME @AL WAQAR.

KWA MASWALI, MAONI AU USHAURI KUHUSIANA NA SHERIA AU MSAADA WA SHERIA, NIANDIKIE KATIKA SEHEMU YA MREJESHO (COMMENTS), NITAKUJIBU KWA UWEZO NA MAJAALIWA YA MWENYEZI MUNGU.
Karibu sana...... click here to unlock the post