

Emmanuel Mongi @Bookworm
The Art of Thinking Clearly" hiki ni kitabu kilichoandikwa na Rolf Dobelli ni hazina ya maarifa kwa mtu yeyote anayetaka kuboresha uwezo wake wa kufikiri na kufanya maamuzi sahihi. Kupitia sura fupi fupi zenye mafunzo ya kina, Dobelli anaweka wazi makosa ya kawaida ya kiakili tunayofanya kila siku—bila hata kujua.
Kwa kutumia mifano halisi, hoja makini, na ucheshi wa busara, kitabu hiki kitakufundisha jinsi ya......
click here to unlock the post

Emmanuel Mongi @Bookworm
"Habits of a Happy Brain" na Loretta Graziano Breuning, PhD, hiki ni kitabu kinacholenga kukupa maarifa ya kipekee juu ya jinsi ya kufungua furaha ya kweli kwa kuelewa muundo wa kikemikali wa ubongo wako. Kitabu hiki kinachunguza jinsi homoni za furaha—serotonin, dopamine, oxytocin, na endorphin—zinavyoathiri hisia zako, na kinakupa mbinu za vitendo za kuzihamasisha kwa njia za asili.
Je, unatafuta njia za........
click here to unlock the post

Emmanuel Mongi @Bookworm
Karibu kwenye Ukurasa wa Uchambuzi wa Vitabu – Safari ya Maarifa na fikra chanya Kwa maisha yaliyo bora! : By "Emmanuel Mongi"
KITABU MEZANI LEO HII NI: "The 4-Hour Body" na "Timothy Ferriss" ni kitabu kinacholenga kukufungua kiakili juu ya milango ya mageuzi kwa mwili wako na maisha kwa ujumla. Mwandishi, "Timothy Ferriss", anayejulikana kwa kazi yake ya kitabu kilichouzwa sana duniani cha "The 4-Hour Workweek," wakati huu anakuja tena na mwongozo wake mpya na wa kipekee wa namna ya kumudu na kuwa "in control" na mwili wako kwa kutumia mbinu za muda mfupi (yaani masaa manne).
KWANINI KITABU HIKI:
click here to unlock the post

Emmanuel Mongi @Bookworm
Promo Text click here to unlock the post

Emmanuel Mongi @Bookworm
