Pinned Post
Dr Badi
Dr Badi @Drbadi

JIFUNZE KUPITIA STORY HII click here to unlock the post

Dr Badi
Dr Badi @Drbadi

JE UMEKUWA UKITAMANI SANA KUFANYA BIASHARA LAKINI HUJUI UANZIE WAPI?Kwa miaka zaidi ya 10 sasa nimekuwa nikifundisha vijana namna ya kuanzisha biashara. Na nimejifunza na kufahamu kuwa changamoto kubwa kwa vijana walio wengi SIYO PESA kama wanavyodhani. Au wanavyosema. Vijana wengi sana huniambia bro nataka sana kuwa mfanyabiashara lakini SINA MTAJI. Nikimuuliza mtaji upi unamaanisha. Anasema bro mtaji si pesa bro. Tatizo kianzio Dr Badi! Na mimi huwa nawaambia tu MDOGO WANGU PESA SIYO TATIZO. click here to unlock the post

Dr Badi
Dr Badi @Drbadi

Kuna utafiti uliwahi kufanyika nchini Marekani na kugundua ya kwamba... ukichukua kundi lolote la watu 100 wakiwa wameanza kujenga career zao na ukawafuatilia kwa miaka 40 mpaka watakapostaafu basi utapata matokeo yafuatayo:A. Ni mmoja tu (1) kati ya hao 100 atakuwa tajiri click here to unlock the post

Dr Badi
Dr Badi @Drbadi

Usifikiri wana bahati. Waliozaliwa familia Tajiri au za marais wenye hela ni wengi. Hata watoto wa Mugabe walizaliwa kwenye pesa za kumwaga na maisha ya kutetemekewa but hawapo kwenye list kama hizi. Why? Akili mukichwa!Nimestudy na kuona katika mabilionea hawa 19 hakuna MVIVU na hakuna asiye na malengo. Ninegundua kuwa bila kujali umri au background zetu kuna vitu vichache sana vinatutofautisha click here to unlock the post

Dr Badi
Dr Badi @Drbadi

Kuna tajiri mmoja nilionana naye zamani sana nikaomba ushauri wa mafanikio akaniuliza nina shilingi ngapi nikamwambia milioni 2.Akaniuliza una miaka mingapi nikamwambia. Akasema sasa mbona unamiliki pesa sawa na mtoto wa miaka 2 ambaye amewekewa akiba na mzazi wake kwa kuwa hawezi kujitafutia mwenyewe.Hapo tulikuwa kwenye gari lake kwa sababu mwanaye mmoja alikuwa akinikubali sana ndo alifanya nikafika kwao. Nakumbuka wakati anasema hivyo na yuko na watoto wake kwenye gari. Nilisikia kama kupigwa click here to unlock the post

Dr Badi
Dr Badi @Drbadi

Thamani yako inazidi dhahabu na almasi - kama UNAJITAMBUA. Kama hujitambui hata CHANGARAWE kitakuwa na thamani mbele za watu kuliko wewe. click here to unlock the post