PleasureMe
PleasureMe @PleasureMe

Story 15 za Kweli kuhusu Kufanya Mapenzi ( zitakuacha mdomo wazi...)

Story 15 za Kweli kuhusu Sex Ambazo Hawataki Uzijue . . .

Sex ni kitendo cha asili kinachotuhusu binadamu wote duniani lakini cha ajabu ni kuwa ndio kitendo kisichozungumziwa na wengi.
Mbaya zaidi ni kuwa wengi wetu hatuna taarifa sahihi kuhusu kitendo hiki natural.
Kwanini bado tuna maswali mengi kuhusu sex ambayo hayatowahi kujibiwa?
Swali zuri, na ni afadhali umeuliza mapema..
Ni kwasababu
Dunia na jamii yote ya leo kwa ujumla bado ina mtazamo hasi dhidi ya sex,
Bado hatupo tayari kuizungumzia sex kiuwazi,
Na ndio sababu sikuhizi tunafanya tu sex bila kuijua kiundani.
Hizi hapa ni story 15 za kweli kuhusu sex wasizotaka ujue ambazo zitakuacha mdomo wazi

1. Shahawa zinaweza kusurvive kwa masaa machache sana nje ya mwili.
Lakini
Mara tu zinapoingia ndani ya uke zikafanikiwa kusafiri hadi kwenye ute unaotengenezwa kwenye nyumba ya mimba, zinaweza kudumu kwa zaidi ya siku 3 hadi 5

2. Mwanaume wa kawaida mwenye afya nzuri
Anaweza kumwaga shahawa kwa wiki mbili zinazotosha kuwatia mimba wanawake wote duniani

3. Kufanya mapenzi na kufika kileleni kunauwezesha mwili wako kuvumilia maumivu zaidi

4. Kukojoa baada ya kufanya mapenzi kutakusaidia kuepukana na magonjwa ya njia ya mkojo (UTI)

5. Ingawa ni asilimia ndogo, ila baadhi ya wanawake hufika kileleni kwa kusisimua maziwa na nipples pekeyake.
Hii ni aina nyingine ya kufika kileleni kwa wanawake inayoitwa 'nipplegasm'
Utafanikiwa zaidi kama utasisimua nipples za mpenzi wako wakati wa Foreplay..Endelea hapo chini click here to unlock the post

PleasureMe
PleasureMe @PleasureMe

Hii Hapa Njia iliyothibitishwa, ya Kufika Kileleni kwa Kusisimua G Spot... click here to unlock the post

PleasureMe
PleasureMe @PleasureMe

Amini Kama bado HUJUI Ukweli Kuhusu G Spot, Utaishia kupiga Show za Sekunde 30 kama Whatsapp Status, Soma Hii Sasahivi Epukana na Aibu Zisizo na Kichwa wala Miguu. . . click here to unlock the post

PleasureMe
PleasureMe @PleasureMe

Utaishia Kupoteza Pesa Nyingi sana kwenye mishe zako za Kupendeza kama Hutojua Tofauti iliyopo kati ya Utanashati wa Ndani na ule wa Nje (Mavazi..) click here to unlock the post