

SIMULIZI CHOMBEZA @SIMULIZICHOMBEZA
Kwa majina naitwa Mima Lwahidi. Nina umri wa miaka ishirini na mbili. Sikuwa na haja ya kuambiwa kuwa mimi ni mzuri, nilijijua. Katika jiji la Dareslaam, walijipanga wanaume wengi wenye mvuto wa kila aina, wote walihitaji kuwa nami, lakini kwa upande wangu sikuona hata mmoja ninayeweza kumpa nafasi.
Mwaka wa pili ndio niliuanza katika chuo kikuu cha Daresalaam, niliuhesabu ni mwaka wenye baraka kwani sikuwa na somo la kurudia mtihani.Rafiki yangu Mwanne, alikuwa ni bingwa wa kutazama video za pilau, na kila aliloliona alilijaribu kwa mpenzi wake.
Sikuwa mfuasi wa kuangalia hizo video ila siku moja alinilazimishia kuangalia, “Wewe! hilo dude lote linazama kwa mwanamke?” nilishangaa nilipoiona“Ndio, cheki anavyokojoa sasa,” alinijibu Mwanne“Mh! Haya sio maji?”“Ndio kukojoa kwenyewe huko,”“Mtu unatoka maji?”“Ndio hivyo, wewe kibanie tu mwisho wa siku kioze,”“Ebu toka huko, lakini wanaume weusi wana makitu jamani!”“Tena waogope sana wanaume wembamba warefu, nyama zote zimekusanya huko chini,”“Kweli eeh?”“Habari ndio hiyo…
”Maongezi hayo yalinijuza jambo fulani, kusema ukweli nilikuwa mshamba wa mapenzi, sikuyaendekeza kwasababu sikuona raha yake zaidi ya kupeana mawazo ukizingatia wengine familia zetu zilitutegemea.Nikiwa bwenini, alikuja Damiani, ndiye mwanaume pekee niliyekuwa nikipiga naye stori, alikuwa ni shemeji yangu kwa Mwanne.
Naye alishawahi kunitongoza ila nilimtuliza na kumwelekeza vyema maana alipendwa sana na rafiki yangu.. Subscribe hapo chini kupata muendelezo wa makala hii…
click here to unlock the post