

MARLEY- MOBILE APPS @u1757
Je Unatumia "APPLIKESHENI" Kwenye Simu Yako?...
Kama Umejibu Ndio… basi UNAKOSA Pesa Nyingi sana .
WATU WENGI WANATUMIA APPLIKESHENI KWENYE SIMU ZAO, ILA HAWAFAHAMU JAMBO HILI.
KWA MTUMIAJI WA APP HIYO , INAWEZA IKAONEKANA KAMA KITU KIDOGO TU, ILA MMILIKI WA ILE APP KWAKE YEYE NI MFANO WA KAMA KUMILIKI NYUMBA YENYE WAPANGAJI.
NAMNA SAHIHI YA KUTIZAMA APPLIKESHENI, NI KUITIZAMA KAMA ASSETI YA KIDIGITALI. (DIGITAL ASSET)
CHUKULIA HIVI..
APPLIKESHENI = NYUMBA
WATUMIAJI WA APP = WAPANGAJI
KADIRI WATU WANAVYOTUMIA APP YAKO, NDIVYO KADIRI APP INAVYOKUINGIZIA PESA, KAMA VILE AMBAVYO WAPANGAJI HULIPA KODI KWA MWENYE NYUMBA KADIRI WANAVYO ENDELEA KUISHI KWENYE NYUMBA HUSIKA.
UNAWEZA UKAWA UNAJIULIZA , WATUMIAJI WA APP WANAMLIPA VIPI MWENYE APP?
MWENYE APP ANAWEZA KU MONETIZE APP KWA KUWEKA MATANGAZO KWENYE APP, AU KUPITIA NJIA NYINGINE ZA MONETIZATION.
Duniani kuna makampuni makubwa yanayojihusisha na biashara ya utangazaji wa matangazo mtandaoni. Vinara wa biashara hii ni makampuni kama GOOGLE NA FACEBOOK. Makampuni haya moja ya biashara zao kubwa ni kuruhusu wafanya biashara kuweza kutangaza matangazo yao kwa walengwa/wateja wao kupitia GOOGLE ADS NA FACEBOOK ADS. Pale mfanyabiashara anapo lipia kwenye mitandao hii kutangaziwa tangazo lake, makampuni haya yana majukwaa tofauti tofauti yenye wafuasi/watumiaji wengi ambayo huyatumia kuonyesha matangazo yale kwa walengwa.
Mfano,baada ya mfanya biashara kuchapisha tangazo lake la kulipia kwenye mtandao wa facebook, Kampuni ya facebook baada ya kupokea tangazo lile hulionyesha tangazo lile kwenye majukwaa yake ,wenyewe huita (placements) .
Placements hizi zipo nyingi, na moja ya placement ambazo facebook wanatumia kuoneshea matangazo yao ni “Audience Network” Hayo maneno ya kizungu hapo yasikutishe kabisa ,kama hujaelewa,kiurahisi tu niseme facebook wanaonesha matangazo yao katika aplikesheni za simu za watu binafsi,yaani kama wewe unamiliki applikeshen yako ya simu na applikeshen yako hiyo inawatumiàji wa kutosha,makampuni haya ya utangazaji kama Facebook na Google yana utaratibu maalumu wa kuonyesha matangazo yao katika applikesheni yako,halafu wanakulipa kutokana na idadi ya watumiaji wa applikesheni yako,waliotazama matangazo yao.
Iko hivi,ngoja nikupe mfano rahisi zaid ili tupate kuelewana ,
chukulia mfano ,wewe ni mmiliki wa chuo au shule,
halafu inatokea kampuni kama coca cola au vodacom,wanakuja na kukwambia,"tunaona chuo chako kina vijana wengi hivyo tungependa tuweke mabango yetu ya kibiashara,halafu kadiri wanafunzi wengi zaidi watakavyotazama matangazo yetu,sisi tutakulipa wewe zaidi"katika mfano huu, mtaji wako wewe hapo ni idadi ya wanafunzi,hali ya wewe kuwa na wanafunzi tayari ni fursa kwa wafanyabiashara kuonesha matangazo yao . hivyo hivyo katika biashara ya mobile applikesheni,wewe mtaji wako ni kuwa na watumiaji wengi wa applikesheni yako,ukiwa na watumiaji wengi wa applikeshen,ni fursa kwako kwa makampuni makubwa kuonyesha matangazo yao kwenye applikeshen yako.
Kijana wa karne ya 21 usikubali fursa hizi za kumiliki Applikesheni ikupite.
Kama uko serious na fursa hii , nimekuandalia muongozo kamili kuhusu biashara hii , na jinsi gan unaweza ukamiliki na kuanza kuingiza pesa kupitia applikesheni yako mwenyewe.
SUBSCRIBE HAPO CHINI KUPATA MUONGOZ KAMILI
click here to unlock the post