by Marley Digital

CLUBZILA NI NINI? JINSI YA KUTUMIA KUCHAPISHA MAUDHUI YAKO

29 Oct, 2022

Clubzila ni jukwaa digitali (digital platform) inayokuwezesha  kuuza maudhui yako ya kidigitali moja kwa moja kwa hadhira yako kwa urahisi na usalama zaidi.
Kupitia ukurasa wako wa clubzila, unaweza kuchapisha na kuuza maudhui katika mtindo wa maandishi, picha, audio au video.
Ukiwa mchapisha maudhui ndani ya clubzila, utakua na ukurasa wako maalumu, ambao utachapishia maudhui yako,(maandishi, picha,audio au video),maudhui haya unaweza kuamua  hadhira yako iyapate kwa mtindo wa kulipia malipo ya mwezi, au malipo ya mara moja (kwa post husika) au bila gharama yoyote (bure).
Hadhira yako, itaweza kulipia maudhui hayo hapo hapo kwenye  ukurasa wako wa clubzila, kupitia mitandao ya simu kama M-pesa, tigo pesa, airtel money, halopesa nk.
Clubzila inalenga kuwarejeshea creators(watengeneza maudhui) nguvu ya kudhibiti na kunufaika na maudhui yao, aidha iwe ni taarifa,mafunzo,maisha binafsi(lifestyle & personality),hamasi/ushawishi na aina zingine za maudhui wanayoamua kuchapisha katika kurasa zao za clubzila.
Utengenezaji wa mtandao wa Clubzila umelenga kuleta urahisi wa matumizi kwa jamii za kiafrika,kwa kuzingatia uhalisia wa mazingira ya kiafrica.
Unaweza ukajisajili clubzila kupitia application zetu zinazopatikana ndani ya playstore na  appstore (appstore-comming soon) au kupitia website yetu ya clubzila.com
Kujisajili na kutumia mtandao wa clubzila ni bure na rahisi. Yafuatayo ni maelekezo  ya kujisajili na kuanza kunufaika na mtandao wa clubzila leo hii.


JINSI YA KUJIUNGA NA KUTUMIA CLUBZILA.
Katika platform unaweza kujiunga kama mtumiaji wa kawaida au mchapisha maudhui .Mtumiaji wa kawaida anakua na uwezo wa kuona na kununua maudhui ya wengine(creators) 
  • Kujiunga na platform ni rahisi na haraka, unachohitajia ni kutembelea platform kwa kupitia link hii  clubzila.com  kisha kubofya kitufe cha GETTING STARTED.
 
  • Utajaza form majina yako kamili na email yako,kisha kubali sera za faragha na kubofya kitufe cha SIGN UP
          
Kwa kufanya hatua hizo hapo juu, utakua umekamilisha utaratibu wa kujiunga na platform kama mtumiaji. Baada ya hapo ni vyema ukaenda kwenye sehemu ya kuhariri ukurasa wako, nakujaza taarifa zingine zinazikuhusu pamoja na kuweka  picha yako kwenye profile yako ili iwe rahisi watu kukutambua kiurahisi. 


JINSI YA KUCHAPISHA MAUDHUI

Ili kuchapisha maudhui kwenye platform,inabidi kwanza uwe umejisajili kwenye platform(kama ilivyoelezwa hapo juu),kisha hakiki account yako kwa ku "bofya" button ya "Be creator" iliyopo katika sehemu ya menu na kufuata maelekezo .Ukishafanya hvyo,baada ya muda usiozidi saa 24 account yako itakua imehakikishwa na baada ya hapo utakua tayar kwaajili ya kuanza kuchapisha maudhui.
Pia unaweza kuwasiliamna moja kwa moja na watoa huduma wa clubzila kwa simu no 0754546567 ili kuweza kuhakiki taarifa zako na kuiwezesha account yako kuweza kuchapisha maudhui.

JINSI YA KU"SET" SUBSCRIPTION PRICE YA UKURASA WAKO WA CLUBZILA
 
 




JINSI YA KU"SET" NJIA YA KUPOKELEA MALIPO ) EARNINGS WITHDRAWAL METHODS
 
 


JINSI YA KUCHAPISHA MAUDHUI KWAAJILI YA "SUBSCRIBERS WAKO TU" KATIKA UKURASA WAKO WA CLUBZILA
 
 






JINSI YA KUCHAPISHA MAUDHUI YA "KULIPIA" YANAYOONEKANA KWA ATAKAE LIPIA TU(PAID POST)

 
 


JINSI YA KUCHAPISHA MAUDHUI YA BURE YANAYOONEKANA KWA WATU WOTE
 
Others posts
  • FAHAMU MTANDAO WA CLUBZILA @Marley Digital - 04 Mar, 2022

    CLUBZILA. Clubzila ni mtandao unaowezesha mtumiaji kuwe...

  • SABABU 5 ZA KUTUMIA CLUBZILA KUCHAPISHA MAUDHUI YAKO @Marley Digital - 05 Feb, 2023

    SABABU 5 ZA KUTUMIA CLUBZILA KUCHAPISHA MAUDHUI YAKO. Clu...